Tuliokwazana mtandaoni kisa kampeni sasa tuombane msamaha hapa, kampeni zimeisha tujenge nchi

Jamani kuna wengi tumekwazana sana kupitia Itikadi, Majibu, Sera, Kuhusu wagombea wetu, kuna wengine najua mmetishana kupitia hata SMS.

Sasa naomba umtaje uliomkosea na umuombe Msamaha.

Yale matusi na kashfa zote ndiyo misingi tuliyoijenga kwa ajili ya maisha mapya baada ya uchaguzi. Amini nakuambia tumeishaharabu nchi uetu wenyewe kwa kujifanya hatuna akili timamu.
Kama nchi Hatujawahi kuwa na kampeni za kiwenda wazimu kama hizi, zanzibar walikua hawazikani wala kushirikiana kwa miaka mingi lakini hawakuwahi kufanya kampeni za kijuha hivi na bahati mbaya huku kwetu aina hizo za kampeni zilikua zikichochewa na viongozi wa vyama na wengine ni ma amiri wakuu.
 
Uko sahihi sana! Tofauti ya sera na Ilani zimewTesa sana Magufuli na Lowassa
 
Jamani kuna wengi tumekwazana sana kupitia Itikadi, Majibu, Sera, Kuhusu wagombea wetu, kuna wengine najua mmetishana kupitia hata SMS.

Sasa naomba umtaje uliomkosea na umuombe Msamaha.
hatukutofautiana kwa sababu ya uchaguzi tu , bali tofauti zetu ziko kwenye haki na dhuluma , binafsi siwezi kuisamehe ccm hadi siku ya kufa , ianze ccm au mimi .
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Siwezi kuwa na ushkaji na liCCM,ieleweki hivo.kwa maana kama unachukia unafiki means unachukia ccm,
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom