Tulio chora Tatoos tukutane hapa tupeane na Maana.

Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,567
3,574
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.

Tatoo ni Imani.
Tatoo ni Fikra
Tatoo ni Urembo
Tatoo ni Falsafa
Tatoo ni Siasa
Tatoo ni Itikadi nk.nk.


Wale tulio chora tatoo katika miili yetu wengi (kama sio wote) kuna jambo/mambo tunayo maanisha ama kuamini katika Michoro yetu.

Naomba kwa atakae penda atueleza maana ya kile alicho maanisha ama alicho penda katika mchoro wake.

Karibuni wote.
 
Mimi ni muumini Mkubwa wa Jani (Shada) au niite kinagaubaga Bange.

Naiamini na kuikubali zaidi katika kunipa nguvu, mori, uthubutu, furaha nk.nk.

Kwangu hii ni zaidi ya Starehe.
esrar_bagimlisi_koluna_kenevir_dovmesi_yaptirdi_1309599991.jpeg
 
Kibongobongo Mchoro mmoja kwa Mashine unaanzia 30000/= ikiwa ni wa kawaida tu.

Namaanisha huu sio complicated.

Mchoro mwingine unaweza kufikia 80- 120 above...

Namaanisha 80,000- 120,000 na kuendelea.
Hivi wanachora kwa bei gani..tuanzie hapo kwanza.
 
Back
Top Bottom