Tulio chaguliwa muhas tujuane jamani

Fidelis zul zorander doctor of medicine..

ACHENI UJINGA NYIE!!!!!!! KUWENI NA SUBIRA. ULIZENI UZOEFU KWA WAKUBWA ZENU.

TCU haina nguvu yoyote kwa mamlaka ya chuo. kama mko makini, chini ya tangazo la kupata chuo, kuna jedwali linaloonesha karibu kozi zote ulizoomba. sasa jedwali hilo hadi kwenye kozi yako mwenyewe kwenye selection status, bado umeandikiwa selection not processed, hii ina maana kuwa TCU wanafanya allocation ya wanafunzi tu, lakini Chuo ndicho hufanya selection za wanafunzi kiwatakacho. hivyo, unaweza kuwa umepangiwa udsm kwa mfano, halafu siku udsm wakitoa wewe haupo, kisa cut point zako hazijafika.

nawashauri msubiri vyu ndo vitangaze, ndo muanze kutaftana, lakini si kukurupuka halafu kesho unajikuta haumo
 
Hw comez tcu hawana mamlaka ya kumchagua m2 wakat ndo waliopewa dhaman hyo! N mpaka wamekuallocate datc meanz unaqualificatn zote! 4Ma cde brada u speak non sense!
 
ACHENI UJINGA NYIE!!!!!!! KUWENI NA SUBIRA. ULIZENI UZOEFU KWA WAKUBWA ZENU.

TCU haina nguvu yoyote kwa mamlaka ya chuo. kama mko makini, chini ya tangazo la kupata chuo, kuna jedwali linaloonesha karibu kozi zote ulizoomba. sasa jedwali hilo hadi kwenye kozi yako mwenyewe kwenye selection status, bado umeandikiwa selection not processed, hii ina maana kuwa TCU wanafanya allocation ya wanafunzi tu, lakini Chuo ndicho hufanya selection za wanafunzi kiwatakacho. hivyo, unaweza kuwa umepangiwa udsm kwa mfano, halafu siku udsm wakitoa wewe haupo, kisa cut point zako hazijafika.

nawashauri msubiri vyu ndo vitangaze, ndo muanze kutaftana, lakini si kukurupuka halafu kesho unajikuta haumo

Uko sahihi kabisa mkuu ila uhakika wa kuchaguliwa ni mkubwa maana hivyo vyuo vilipeleka vigezo vyao TCU so TCU wana chagua kutokana na vigezo vilivyo wekwa na chuo husika
 
Hili wimbi la hawa watoto na TCU sijui litaisha lini Yarabi!

Yaani mtu anaanzisha thread tu kujionesha kachaguliwa wapi sijui, hivi mnadhani kuchaguliwa chuo ndio maisha yanaishia hapo?

JF ya zamani imepotea kabisa yaani, enzi za kina Malilo, Mwanakijiji na wengine inamezwa kabisa na wana -fb!
 
ACHENI UJINGA NYIE!!!!!!! KUWENI NA SUBIRA. ULIZENI UZOEFU KWA WAKUBWA ZENU.

TCU haina nguvu yoyote kwa mamlaka ya chuo. kama mko makini, chini ya tangazo la kupata chuo, kuna jedwali linaloonesha karibu kozi zote ulizoomba. sasa jedwali hilo hadi kwenye kozi yako mwenyewe kwenye selection status, bado umeandikiwa selection not processed, hii ina maana kuwa TCU wanafanya allocation ya wanafunzi tu, lakini Chuo ndicho hufanya selection za wanafunzi kiwatakacho. hivyo, unaweza kuwa umepangiwa udsm kwa mfano, halafu siku udsm wakitoa wewe haupo, kisa cut point zako hazijafika.

nawashauri msubiri vyu ndo vitangaze, ndo muanze kutaftana, lakini si kukurupuka halafu kesho unajikuta haumo

nadhani we utakua wa second round.
 
Hili wimbi la hawa watoto na TCU sijui litaisha lini Yarabi!

Yaani mtu anaanzisha thread tu kujionesha kachaguliwa wapi sijui, hivi mnadhani kuchaguliwa chuo ndio maisha yanaishia hapo?

JF ya zamani imepotea kabisa yaani, enzi za kina Malilo, Mwanakijiji na wengine inamezwa kabisa na wana -fb!

wewe unaopost ujinga wa chumbani kwako wewe na demu wako kwenye jukwaa la mmu ndo unajiona wa maana sio..embu peleka upuuzi wako huko huko kwenye jukwaa linalo kuhusu..huku hakukuhusu
 
kuna kina- Narubongo,Nguchiro,Kichuguu just to mention a few,
 
tcu si ndo wenye mamlaka sasa mnaleta propaganda gan ihali wameshatangaza kwenye profile ya kila mt hayo ndo matokeo
 
wewe unaopost ujinga wa chumbani kwako wewe na demu wako kwenye jukwaa la mmu ndo unajiona wa maana sio..embu peleka upuuzi wako huko huko kwenye jukwaa linalo kuhusu..huku hakukuhusu

Siwezi kukulaumu, ongea tu uwezavyo mdogo wangu, by the way hatuonani hapa shida iko wapi, ila siku moja utakuwa na utaona tofauti yako na waliokutangulia.

Ropoka uwezavyo mdogo wangu, uko mwanafunzi wa chuo sasa maisha umeshayapatia
 
Haya TCU wamekata mzizi wa fitina ukipitia selection status imeandikwa Admitted. Haya wabwabwajaji endeleeni.
 
Siwezi kukulaumu, ongea tu uwezavyo mdogo wangu, by the way hatuonani hapa shida iko wapi, ila siku moja utakuwa na utaona tofauti yako na waliokutangulia.

Ropoka uwezavyo mdogo wangu, uko mwanafunzi wa chuo sasa maisha umeshayapatia

xo what!jamaa ameingia wrong toilet!
 
mjuane halafu nini? ili iweje? chuo unaenda soma wewe ama unatafuta kundi la 'NZOKI'?
umezaliwa peke yako, pale muhas ni shule mtindo mmoja, kafanye urafiki na 'cadaver' linakusubiri!
usitake leta jionyesha fulani! watu wamepita pale tangu hujazaliwa. nenda shule na usianzishe migomo migomo!
 
mjuane halafu nini? Ili iweje? Chuo unaenda soma wewe ama unatafuta kundi la 'nzoki'?
Umezaliwa peke yako, pale muhas ni shule mtindo mmoja, kafanye urafiki na 'cadaver' linakusubiri!
Usitake leta jionyesha fulani! Watu wamepita pale tangu hujazaliwa. Nenda shule na usianzishe migomo migomo!

mi naona unataka kuleta disunity,kwa hiyo m2 kama kazaliwa peke yake ataishi peke ake au?na nani kasema kugoma,usitunge mabo yako,afu mi nafikiri umeingia choo cha kike!
 
Madogo mna pupa nyie! Maisha tofauti kabisa na kusoma. Tuulizeni sisi who have seen it ol.
 
kat ya course ambazo wa2 wanazionea wivu ni M.D,jioneeni hapo juu jinsi wa2 wanavyoponda nakuleta mishe zisizousiana na kichwa cha uzi,mi naona ambacho mngechangia nikuwatia moyo vijana wac-sup ili 2je kuwa na madaktari bigwa hata kwe2 bongo nasio kila siku kukimbilia INDIA ambako bei ziko juu!
 
Back
Top Bottom