Tulificha siri kuiokoa serikali

ukiona jinai na wewe ukaamua kuchukua hatua za makusudi kuificha hiyo jinai unakuwa accomplice after the fact...so hawa wote waliochukua hatua za kuificha jinai ya serikali ili kuilinda nao ni waovu kama wale waliofanya maovu yenyewe...wote ni kwa pilato na kuishia segerea!
 
vua gamba vaa ganda hii mambo ya kutokuchukua maamuzi magumu inatutesa watz
 
Kila mara ukisikia maneno "kuhofia kuimbua serikali" au "kuinusuru serikali" inachomaanishwa ni kwamba kulikuwa na tatizo ambalo Raisi wa Nchi anahusika, eidha kwa kukiuka utaratibu au kwa kuhusika na hata ufisadi kupitia watu fulani, na kuliweka wazi ni jambo ambalo lingeletea kuwajibishwa kwa Raisi wa Nchi, au kupigiwa kura ya kukosa imani ma hivyo kufanya hata uchaguzi mpya uitishwe ili kuweka serikali mpya.

Kumwajibisha raisi ni jambo kubwa. Kwanza kunalidharirisha taifa kwa ujumla, na pia kunaleteta kutetereka kwa taifa kiusalama. Hivyo mara nyingine baadhi ya viongozi wanaona ni afadhali wakae kimya kuliko kuweka makosa ya raisi hadharani.
 
Na huu ni usaliti kwa wananchi + nchi! Kama huyo Rais kalikoroga anapaswa kuwajibishwa na sio kulindwa! Tafakari!
 
Umeunganisha unganisha ili upate ku "propagate" chuki. Unachoshindwa kuelewa kuwa kila waziri anapokula kiapo huwa anaapa kuwa atalinda siri za baraza la mawaziri ambayo ni serikali. Serikali ina siri nyingi sana na usitake kuwaaminisha watu vinginevyo.

Acha kudanganya uma wewee!!! tume nazo zinaundwa ili kulinda madudu ya serikali? na serikali ni nani kama siyo mimi na wewe? fumbo mfumbie mjinga ila kwa werevu wanajua wanamaanisha nini..
 
Umeunganisha unganisha ili upate ku "propagate" chuki. Unachoshindwa kuelewa kuwa kila waziri anapokula kiapo huwa anaapa kuwa atalinda siri za baraza la mawaziri ambayo ni serikali. Serikali ina siri nyingi sana na usitake kuwaaminisha watu vinginevyo.

Siri zipi. hata sijui nisemeje, tungekuwa karibu ningekulamba kofi wewe.
 
Wazo zuri sana. Wakati ukifika, tunatakiwa tuanze kuhamasisha kwenye familia, jirani, ofisini, jumuia hadi taifa. Halafu tunaringa sana wakati wa kampeni tukiwa na vitambulisho vyetu!
Magamba wataandaa bajeti ya mabilioni ya shilingi ili kuvinunua hivyo vitambulisho vyenu. Njaa ya mtanzania ni faraja kwa magamba.
 
Hata serikali za mataifa makubwa yana siri ambazo zikijulikana zinaweza kuziangusha. Km. Uingereza na Marekani wangekuwa wanatoa idadi kamili ya wanajeshi wao waliokufa katika vita ambavyo havikuwa na umuhimu huko Iraq (kulikotokana na taarifa zisizo sahihi za kiintelejinsia), Afganistan, nk. Au matumizi/manunuzi yo yote ya kijeshi, Nina uhakika hata CDM au CUF au NCCR- zikitwaa madaraka kuna maeneo yatafanyika madudu ambayo yatakuwa ni hatari kwa serikali zao kama yatajulikana wazi. Hata vyama vya siasa vina siri ambazo zikijulikana, wanachama wangekosa imani navyo. HIVI NDIVYO ILIVYO.

Ni kweli lakini kama umeamua kuficha piga kimya forever,kama vile hakuna kilichotokea ukianza kusema kama tusingeficha siri yangekuwa mengine unatafuta nini umaarufu au?....UPUUZI...bora useme nini ulichoficha hautaki kusema endelea kuficha kaa kimya,watu wa hivi ni hovyo kabisa
 
Siri zipi. hata sijui nisemeje, tungekuwa karibu ningekulamba kofi wewe.

Hakuna Siri, nini maana ya kuundwa kwa ile kamati kama itakuwa inaficha siri???

Haya yote ni madhambi ya kuleana na kubebebana. ndio maana ufisadi umeota mizizi kwa ajili ya kuhifadhiana kisiasa kama huyu mh. Lembeli.

Huyu kwa ujumla ni kwamba hafai kuongoza kamati wote ni walewale mafisadi tu.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Dawa hapa tuhamasishe vijana kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kuru endapo likiletwa tukate ngebe za magamba wanavyosema vijana hawapigagi kura maana hawana zile kadi za kupigia kura.

thats right mkuu, pamoja na elimu ya uraia ni la kupewa kipaumbele pia ili kila mtz ajitambue na atambue nafasi yake katika jamii na taifa katika kuleta maendeleo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom