Tukutane hapa kwa walioshindwa ku-root simu zao

Nimesharoot lg g flex 2 ikakubali na root master bsada ya kingroot kugoma

Lakini kwa tecno w5 LTE finger print nimekwama haikubali kabisa hwa wachina balaa

Kwa tecno nilivyofanya w5 LTE finger print in

1 app ya setting >>about phone >> build number>> tap times 7 your now Developer
Nikarudi sasa kufungua Developer option >>USB dulbing nikatiki hapo nikarudi tena kutafuta security option nikaifungua >> unknown source nikatia tiki hapo

Nikarudi sasa nikaenda google kudownload rootmaster nikainstal nikaiopen ikakata ikanijibu there is no permitted
Ikachemka framaroot nayo ikachemka kingroot nayo ikachemka

Sasa nafikiri hawa wachina wamesitukia huu mchezo labda kwa wataalam zaidi walete kaujuzi nijaribu tena

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Wadau mm sijaelewa chochote tafadhalini munieleweshe pls

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Msaada wa tatizo la screen overlay kwenye tecno w3lte je ku root inaweza maliza hili tatizo?

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Natumia kingoroot kuroot w3lte
Lakini chakusikitisha inakomea 90% inagoma kuendelea

Msaada please

Post sent using JamiiForums mobile app
 
kingroot tu hii simu unaroot.... ikikataa unarudia tena inakubali
Upande wangu nshatumia kingroot, kingo root, frama root, iroot, z4 root mara kibao tu na hakuna ambayo imeweza root j8 boom. Kingroot walinipa notification kwmba there s no strategy yet.
 
wakuu mm naomba kuuliza kama kupitia rooting naweza unlok HUAWEI330 ya tigo iweze kusoma 3G pande zote....???
na kama aiwezekani mnipe njia ya ku unlok iyo sim itoke kwenye umiliki wa tigo....

Post sent using JamiiForums mobile app
 
nimewahi kujiroga mwaka jana nikaroot katecno boom j7 kangu acha kabisa....nikafanikiwa kuroot nikajitia mjanja nikauninstall mpaka play store weeeeesaivi naitazama tu huku nikitoa machozi na kuilaumu kingroot ...kama hujui unairoot ili iweje bora utulie tu ule somo

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
1f81e1de4b7e11b47f76b2b46598aeeb.jpg
unaroot hivi mfano huu hapa au

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app

 
Sony Xperia Tumia vroot apk pia mkuu wa tecno n2 tumia kingoroot or framaroot.. maelekezo jinsi ya kufany rooting fuatilia replies za juu[

Shukrani mkuu kama hutajali naomba linki ya vroot maana ukiserch zinakuja nyingi nashindwa kujua nipakue ipi.
 
Hi,
Kama kawaida ya jukwaa letu n kuelimishana mambo mbali mbali hivyo leo nmeandaa uzi huu maalum kwa wale wote wanaohitaji kufurahia ulimwengu wa rooting but wameshindwa either uoga wa kijinga au apps walizotumia haziendani na simu zao yaani namaanisha mfano kingoroot apk haijawah kuroot tecno w4. Hivyo leo nmeandaa baadhi ya apps ambazo zitasaidia.

Iroot_inatumika sana kwa simu za HTC na samsung.
Kingroot & kingoroot kwa baadhi ya simu nyingi za samsung na tecno ila kumbuka kudonwnlod new version.
Framaroot_cm zote
Pingpong root_kwa cm nying za samsung..
au unawez kutumia hiz Vroot, Srs root, Z4root, Universal root.Odin root,Cf-auto root,Root genius na Root master&Unlock root.....,

Kama sijaeleweka tuulizane hapa hapa jukwaani na naamini wataalam zaidi tutasaidiana kutumbua majipu ya unrooting phones. Ningependa niseme hivi "Kwa sasa wapenda games bila kuroot simu hatuwezi"

Nice day
[HASHTAG]#Alban[/HASHTAG]
 
Msaada plz full maelezo na yaliojitosheleza jinsi ya Ku root tecno c9 n original...
Apps gan nzur?
Procedure kuanzia ya kwanza ad ya mwsho...

Maana ikifa hii kupata tena smartphone adi kipnd cha kampeni niishabikie chama cha kijan


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom