Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 2,335
- 3,084
Ku root ni 50%-50% kuiua simu au kupona. Ukifanikiwa ushukuru Mungu ila ni kitendo chenye risk sana maana kuna apps zingine zinashindwa kuendana na aina ya simu. Kuna mshikaji kaisha ua simu mbili na zote kaua baseband. Simu ya kwanza imei number ika corrupt. Ukicheck imei number inaandika null na network ndio imekata kabisa. Akapata simu nyingine nayo aka root ikafa pia imei number, hawezi kupiga simu wala kupokea simu wala meseji wala kufungua data haiwezikana. Kuwa makini na kuroot, japokuwa ukifanikiwa kuroot una enjoy sana simu kutokana na kuweza kuingiza apps yoyote uitakayo na pia unaweza ku down apps zinazouzwa ukaipata bure kabisa.infix note 3 tumia iroot
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app