TUKUMBUSHANE:- Nyimbo za harusini za makabila mbalimbali

Wangoni - Tuwajambasile wageni
Wangoni - Tuselebuke huu ndio maarufu mjini
Wangoni - Tumfunde mwai
Wangoni - Nigenda nepipi
Wangoni - Mkun'gunday
Wangoni - Dela dela
Wangoni - Kapungu(Kandege Karondora)
umeona wangoni tunavyotisha? chezea kabisa........ ngoja niwashtue ndugu zangu akina snowhite, moto2012, Mzee Tupatupa na kampuni waje wamwage nyingine
 
Last edited by a moderator:
Akanana akanana kaile kona
kaile akaile nkanula

omwana omwana Madame B, aile alie na.................. Nula....

Omwana omwana Madame B aile,aile......... Na nula
 
Ututendei haki kabisa!

Kwa hili nitaitaji fidia kama utakosa ushahidi.
he heeeeeeeeeee, afadhali umekuja, yaani nyie sherehe zenu ni ovyo kabisa......... vinywaji na vyakula vya kumwaga, ila ndo inakuwa kama darasani....................... wote mnajidai nshomile hamuwezi kurukaruka ovyo, lol!
 
umeona wangoni tunavyotisha? chezea kabisa........ ngoja niwashtue ndugu zangu akina snowhite, moto2012, Mzee Tupatupa na kampuni waje wamwage nyingine

Nyimnbo za Adelgoti wa maposeni komesha bhana, raha tupu,

bwelaa bwelaa bweelaa ! bwelaaa bwelaa bweelaa kamwalii eehee, ukaganili wamweene dada eehee, ukaganilili wamweene dada eehe!!! kangoma kwa mbali na kakilulu kakizushi!! hahahaha dada, ne luta Yesu niluta!! Kubomani mbwituu!!
 
huu wimbo wa mangaukau, kama mnaunakumbuka mjomba darky city, dada FP na Snowhite

Akahika njoroli, njoroli njoroli!!Njoroli Pawaka, akahika njororoli njoroli njoroli pawaka, akahika njoroli njoroli njoroli Tayari!!!

Aaah raha tupu!!!

Ninahakika isiyo na shaka kwa Tanzania na Afrika nzima tunaongoza kwa nyimbo na ngoma bora za harusi na matukio mbali mbali ya kijamii!!!
 
tyamba kunyumba mlongo wangu, kubamani huku kwinoga lepi................................ ngati nikuwona cha uselebuka, lol!
 
kuna moja kali sana, Jamaa anauliza pombe na soda kizuri nin? wenyewe tunajibu mzuri ughimbi !!!daah watu8 ulifikiria nini kuanzisha huu uzi?
 
Sio kweli Fp labda kama hauja udhuria harusi zetu siku nyingi, kwakweli tuna cheza ngoma sana tena sana! Me mwenyewe ukibahatika kunikuta kwenye function kama hizo na cheza ngoma hile mbaya! Naomba ujaribu kufanya utafiti kwa watu wengine wa kwambie!

he heeeeeeeeeee, afadhali umekuja, yaani nyie sherehe zenu ni ovyo kabisa......... vinywaji na vyakula vya kumwaga, ila ndo inakuwa kama darasani....................... wote mnajidai nshomile hamuwezi kurukaruka ovyo, lol!
 
huu wimbo wa mangaukau, kama mnaunakumbuka mjomba darky city, dada FP na Snowhite

Akahika njoroli, njoroli njoroli!!Njoroli Pawaka, akahika njororoli njoroli njoroli pawaka, akahika njoroli njoroli njoroli Tayari!!!

Aaah raha tupu!!!

Ninahakika isiyo na shaka kwa Tanzania na Afrika nzima tunaongoza kwa nyimbo na ngoma bora za harusi na matukio mbali mbali ya kijamii!!!
ha haaaaaaaaaaa tiwuka lepa mpaka timala ugimbiiiiiiiiiiii haiwezekani haiwezekani mpaka timala ugimbi
 
tyamba kunyumba mlongo wangu, kubamani huku kwinoga lepi................................ ngati nikuwona cha uselebuka, lol!
Hii nayo, Tilipatiii lilenge lenge litu, tilipatii...................................................

Dada FP, always home is home, nimezunguka 50% ya TZ hakuna kama Songea, Ngadinda ndo kijiwe
 
ha haaaaaaaaaaa tiwuka lepa mpaka timala ugimbiiiiiiiiiiii haiwezekani haiwezekani mpaka timala ugimbi
Hahaha basi Dada FP, nakumbuka mengi nsije nkalia, wfi yako Preta sija mwona leo!
 
Sio kweli Fp labda kama hauja udhuria harusi zetu siku nyingi, kwakweli tuna cheza ngoma sana tena sana! Me mwenyewe ukibahatika kunikuta kwenye function kama hizo na cheza ngoma hile mbaya! Naomba ujaribu kufanya utafiti kwa watu wengine wa kwambie!
last weekend kulikuwa na sendoff pale Istana, husband akaniambia vipi................. nikamwambia ya wahaya, hapana. sababu yeye ilikuwa ni ya mtu wanayeheshimiana sana akaenda, akamwambia katokea job na mimi nilikuwa busy sana sikuweza hudhuria. kafika kule ananitext naomba uniwekee msosi maana ntatoka soon, nasinzia tu.......... yaani kama walikuwa kikaoni, lol!
 
Sio kweli Fp labda kama hauja udhuria harusi zetu siku nyingi, kwakweli tuna cheza ngoma sana tena sana! Me mwenyewe ukibahatika kunikuta kwenye function kama hizo na cheza ngoma hile mbaya! Naomba ujaribu kufanya utafiti kwa watu wengine wa kwambie!
kwanza nilikuambia ndugu zangu wengi wameolewa na wahaya, hivyo sherehe nyingi sana za wahaya nahudhuria, sijawahi kuona ya tofauti labda kama upande wa mama ni wa kabila jingine hasa wangoni au wanyakyusa
 
King'asi na BAK, hizo nyimbo za kingoni mi ninazo ila sijui jinsi ya kuziweka kwa u-tube kina Platozoom na Bishanga wasikilize wajifunze kutoka kwetu sisi wafalme wao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom