Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

kuna mwalimu mmoja pale singe secondary babati arusha jina lake ni Njiku,meno yake yamechomoza nje basi madent walimuita ngiri
 
kuna mmoja aliitwa pooltable alikua anfundisha arusha meru, aliitwa ivyo coz hupenda kisimama kwa kuegemea meza mithili ya mtu aanesubiria zamu yake kuchwza pooltable
 
Maspeed- mwalimu wetu alikuwa hawezi kutembe polepole.
Afro- mwalimu wetu wa kike alikuwa na minywele habani na siku zingine hachani.
Nendraaa- mwalimu wetu halikuwa hawezi kusema nenda.
Dah! Si shuleni kwetu kila mwalimu alipewa jina lake la utani.
 
kibano...... Huyu mwalimu wetu wa geog,o-level. Suruali zake zote zilikuwa zikimbana
 
Mwalimu Go home bling ur father-Magadura..Lake Sec MWANZA mwalimu wa kemia

aha haaa,umenikumbusha mbali,cjui yupo wapi huyu mzee cku hizi,aliwahi kunityt,kisa nimeingia dini darasa la wahindi,palikuwa hapatoshi,alichukua madaftari yangu akakaa nayo karibu siku nzima!daaah
 
hamsa-wa-ishirini=mwl wa muhimbili primary jamani alikua anachapa kama tupo guantanamo na akiwa darasani lzm amalizie na neno ha "utumwa wa waarabu walikua wanachapa waafrika hamsa wa ishirini fimbo yenye vichwa viwili" sitamsahau aisee
 
BONGOMAN-mwalimu wangu wa commerce o'level, alikuwa anavaa kama mwanamuziki kanda bongoman na alikuwa anacheza bolingo vibaya mno!
 
Von soden= mwalimu wangu wa history la sita (topic ya scramble for and partition of africa)
Diki short form ya DICTATOR= rector wangu secondary alikuwa mkali dunia nzima
Perfomerr= Mwalimu wangu na manual work cordinator, huyu jamaa alikuwa kama john cena ulingoni
Maya= mwalimu wangu wa commerce na book keeping; alikuwa mtu mzima but she behaved like a teenager
Lawino= mwalimu wangu wa literature aligombana na mumewe zikachapwa kavu kavu shuleni tena baada ya parade ya saa tisa.
Kanyundo= mwalimu wangu wa history alikuwa mfupi hujawahi ona!
Babu= ni kawaida kwa walimu wazee
Mandible= mwalimu wangu wa biology form three alikuwa na mdomo mpana balaa
Kenge= huyu ticha alikuwa mkali halafu ana sura ka jiwe
Nyerere= mwalimu wangu wa siasa la tano, mwaka mzima alifundisha juu ya azimio la Arusha
kipipa= alikuwa mwalimu wangu wa kiingereza la nne, alikuwa binti na kiherehere usiombe ukutwe na kosa halafu upelekwe ofisini na ye awepo alikuwa na umbo la mviringo mwili mzima ka mpira.
Kimbilio= huyu alikuwa maza angu si mnajua alikuwa ticha wa primari? alikuwa mpole na alipenda kuwatetea madenti!
Faru huyu aliitwa Mwl Byarugaba, alikuwa akitokea kule BK kwa kina iwe, alikuwa ka faru, uwe na kosa huna ukikutana naye unakula kwenzi (nyundo). Alipenda sana kunywa "pingu" hata aubuhi alikuwa nzwi!
Kuni= huyu mama nadhani hakuwa na bajeti ya mkaa manake kila ijumaa alituagiza kuni!

Jamani tumetoka mbali!
Umeniongeza furaha hapo...alilewa( nzwiii).

Ilikua mkoa gan?
 
...hahahahahahaha...namkumbuka ticha mmoja pale AZANIA alikuwa anaitwa Tokyo..jina halisi Mwl Yengela..jamaa alikuwa anavaa sana suali za tokyo...mlevi vibaya mno..cjui km bd yuko AZA Boy.....
 
Lol, Mhandisi!
Nimecheka lakini sasa namhurumia huyo Gurudumu.
Tumshukuru Mungu kwa kazi zake.

Ni kweli mpenzi, japo keki za cookery na maandazi ya dezo vilituhamasisha wengi pia kuopt cookery...kuna mwalimu wetu wa chemistry baada ya kujifunza periodic tables kwa mbinde msemo wake maarufu kwa sauti flani ya kichaga
'Slowli slowli you wili know all the simbozi !!'
'Slowly slowly you will know all the symbols'
 
Fiudo-mwalimu anyefundisha Civics, pat ya modes of production (Feudalism)
Exotic-Mwalimu aliyepewa jina baada ya kufundisha exotic breeds of livestock

mode,huyu alifundisha cvcs selabasi ya zamani.....na mabo ya plato,dah
 
so much,makumaku,mkanda boy hivi vichwa ni balaa...walikuwa waalimu maarufu kwa kuchakachua tuition..kama kuna mtu amesoma PCB au PCM lazima keshakutana nao au notice zao.

Kweli hivi vichwa vilikuwa ni hatari...
 
Jamani hakuna waliosoma Tambaza? Kulikuwa na Kalu huyo Headmaster na mwingine Washawasha..... Huyu Washawasha si utani alikuwa mwanamke mbaya ana roho mbaya kama sura yake na mkali kweli
 
jaman mi nakumbuka nsumba 2likuwa na ticha anaitwa maumivu ful kukunja uso, na
zuma 2lilikuta hlo jina eti alifndsha kitab cha mine boy,
sumve nlikutana na shogamwaju,makaveli,maza,domodebe,rude alikuwa black. ilikuwa raha sana bt na mm xaxa nasomea ualimu hope ntapewa la kwangu.
 
Kwa waliopitia KILLY BOYS:

KICHEFUCHEFU (kichekiche): kwa sasa ni HAYATI
SAVIMBI: Alikuwa na sharafa kama savimbi, haogi ana suruali moja, haibadilishi na mifuko imejaa chaki
SUTI YAJANDO:
KIGURU:
 
Back
Top Bottom