Tukifuata mfumo wa Colona Agricultue in Tanzania utatusaida sana

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,915
Wakoloni ambao ndio wazungu leo hii, waligawanya maeneo kulingana na hali ya hewa na walijikita kulima kitu ambacho eneo hilo kinafaa hawakutaka kuchanganya changanya mazao.

Mfano Maeneo ya Highland yote waliwekeza kulima either Kahawa na Chai, huku maeneo kama kanda ya ziwa kule ikawa inalimwa Pamba pekee yake.

Leo hii tunaforce kulima kila kitu kila mahali. Eneo mfano kama Singida lilipaswa kuwa ni ukanda wa Alzet basi, lakini utakutana na vikundi vinahamasisha kulima Korosho kule Singida, mara mahindi ni full mchanganyo.

Dodoma ile ingejikita kwenye either Karanga au Uwele au mtama lakini utakuta wanakomaa kulima mahindi pale Dodoma, Pia matunda ya Sukari labda kama zile Zabibu na hata Machungwa.

Kule Pwani ni ukanda mzuri sana wa Matunda ya Sukari kama Nanasi, machungwa na maembe, sasa unakuta mtu anakomaaa sana na kilimo cha ndizi,huwezi lima ndizi pwani mkawa sawa na anaye lima ndizi Moshi au Mbeya au Bukoba. Kuna mmoja niliona anakomaa alime Apple pwani, yaani vichekesho.

Njombe ingejikita full time kwenye Parachichi labda na Macadamia na Apple basi.

Eneo kubwa la kanda ya ziwa halisapoti kikimo cha mahindi kabisa ila ndio hicho huwa majorities wanakomaa na mahindi, Kanda ya ziwa wangejikita full kwenye Pamba, na mazao kama mtama na ulezi basi waachane na mahindi.

Kuna wakati nilikuwa Kigoma maeneo ya Kibondo na Kakonko nikakuta kuna shirika linahamasisha kilimo cha Alzeti, aisee nilishangaa sana, Kigoma bado inapaswa kujikita kwenye Muhogo full labda na yale mawese na sio kuanza kuwachanganyia habari za alzeti.

Hata kaskazini now Arusha na Kilimanajro wanapaswa kuachana na mahindi wajikite kwenye Parachichi na vitu kama Macadamia na Apple pia, na matunda mengine ya ukanda wa baridi. Mahindi tuwaachie nyanda za juu kusini huko Songea na kwingineko. Unakuta mtu yuko Arusha anakomaa na kilimo cha maembe, huwezi lima maembe Arusha yakawa sawa sawa kwa quality na mty anaye lima maembe ukanda wa Pwani.

Pia Serikali inatakiwa kutoa ruzuku kwa kuangalia tu mazao yanayo stawi eneo husika, mtu yuko Dodoma pale unampaje ruzuku ya Mbegu za mahindi kama sio hasara? ruzuku ya mahindi peleka huko Songea, Morogogro, Arusha, Manyara na maenei mengine yote yanayo stawisha mahindi. Kanda ya ziwa wape ruzuku ya Pamba, mtama na ulezi, usiwape ruzuku ya mbegu za mahindi.
 
Wazo lako ni zuri ila unalotakiwa kujua siku hizi kuna uboreshwaji wa mbegu wa hali yajuu. Mfano Apple kuna mbegu zimaweza kulimwa kwenye "Low land areas" km pwani na zinafanya vzr bila shida.Kwa upande wa mahindi yapo yanayoweza kulimwa ukanda wa ukame hadi wenye mvua kiasi cha 600mm-800m. Japo bado wazo lako linamantiki.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Wakoloni ambao ndio wazungu leo hii, waligawanya maeneo kulingana na hali ya hewa na walijikita kulima kitu ambacho eneo hilo kinafaa hawakutaka kuchanganya changanya mazao.

Mfano Maeneo ya Highland yote waliwekeza kulima either Kahawa na Chai, huku maeneo kama kanda ya ziwa kule ikawa inalimwa Pamba pekee yake.

Leo hii tunaforce kulima kila kitu kila mahali. Eneo mfano kama Singida lilipaswa kuwa ni ukanda wa Alzet basi, lakini utakutana na vikundi vinahamasisha kulima Korosho kule Singida, mara mahindi ni full mchanganyo.

Dodoma ile ingejikita kwenye either Karanga au Uwele au mtama lakini utakuta wanakomaa kulima mahindi pale Dodoma, Pia matunda ya Sukari labda kama zile Zabibu na hata Machungwa.

Kule Pwani ni ukanda mzuri sana wa Matunda ya Sukari kama Nanasi, machungwa na maembe, sasa unakuta mtu anakomaaa sana na kilimo cha ndizi,huwezi lima ndizi pwani mkawa sawa na anaye lima ndizi Moshi au Mbeya au Bukoba. Kuna mmoja niliona anakomaa alime Apple pwani, yaani vichekesho.

Njombe ingejikita full time kwenye Parachichi labda na Macadamia na Apple basi.

Eneo kubwa la kanda ya ziwa halisapoti kikimo cha mahindi kabisa ila ndio hicho huwa majorities wanakomaa na mahindi, Kanda ya ziwa wangejikita full kwenye Pamba, na mazao kama mtama na ulezi basi waachane na mahindi.

Kuna wakati nilikuwa Kigoma maeneo ya Kibondo na Kakonko nikakuta kuna shirika linahamasisha kilimo cha Alzeti, aisee nilishangaa sana, Kigoma bado inapaswa kujikita kwenye Muhogo full labda na yale mawese na sio kuanza kuwachanganyia habari za alzeti.

Hata kaskazini now Arusha na Kilimanajro wanapaswa kuachana na mahindi wajikite kwenye Parachichi na vitu kama Macadamia na Apple pia, na matunda mengine ya ukanda wa baridi. Mahindi tuwaachie nyanda za juu kusini huko Songea na kwingineko. Unakuta mtu yuko Arusha anakomaa na kilimo cha maembe, huwezi lima maembe Arusha yakawa sawa sawa kwa quality na mty anaye lima maembe ukanda wa Pwani.

Pia Serikali inatakiwa kutoa ruzuku kwa kuangalia tu mazao yanayo stawi eneo husika, mtu yuko Dodoma pale unampaje ruzuku ya Mbegu za mahindi kama sio hasara? ruzuku ya mahindi peleka huko Songea, Morogogro, Arusha, Manyara na maenei mengine yote yanayo stawisha mahindi. Kanda ya ziwa wape ruzuku ya Pamba, mtama na ulezi, usiwape ruzuku ya mbegu za mahindi.
Wewe ni think tank🙏
 
Dowload crop distribution map(pdf) in TZ. Wameeleza kila zao na wapi lilimwe.
Wakoloni nao waliangalia sana interest zao.
Ndani ya kila ukanda kuna mgawanyiko ndani yake hasa Nyanda za juu. Mfano Nyanda za juu kuna maeneo yanastawi tumbaku. Kama Songwe, Iringa, Songea.
Ndani ya kila ukanda kuna
High altitude
Low and midium. Kilimanjaro miinuko haifanani, ina maana kwamba kilimanjaro milimani watapenda mazao tofauti na bondeni.
Kadiri nilivyotembea mikoa kama 10+ watanzania wanazingatia sana hali ya hewa na ustawi wa mazao.
Lakini kuna mazao yanabadirika bei, hivyo huyaacha mara moja mfano pamba na Kahawa.
Kumbuka wakulima hulima kupata chskula na kuuza, hawazingatiii sana interest za serikali na wanasiasa, japo wanasiasa huwashawishi wakulima kufuata interest za serikali.
 
Back
Top Bottom