Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Bila Shaka we ni KE; meza iko na madude mengi,my table has only Caron's Poivre labda na lotion Moja na deodorant...
Mkuu hio avatar yangu huioni hio picha hata useme mimi jinsia yangu iwe ya kike? kuwa na manukato mengi ni kubadilisha harufu tofauti sio unakuwa unanukia hivyo hivyo kila siku. Ikiwa huwezi kuvaa nguo hio hio kila siku basi na mimi siwezi kuweka cologne hio hio kila siku.
 
Tehe!,..nilisema mtaitwa wanaume wa Dar muda si mrefu, wewe na Ngabu na hizo dressers zenu zilizojaa manukato kuliko hata zetu. :)
 
Pure Red....elfu 16 tu ...sehemu zingine 20 elfu...ila ts btn 15 -20 elfu..I like it saaana ila huku nilipo now siipati
 
:D:D Umesema kweli dada Jana nilimwambia Ngabu kama nitarudi na picha nyengine niweke na Lotion lakini hizi commet nyengine zinaelekea huko unaposema. nimeamua nisiweke tena;)

Huh!, why not?
Yaani mtu akuzuie kufanya the way unapenda?!

Acha utani bwana, hebu tuwekee tuone mnavyotokelezea na wengine hapa tupate points za kupendezesha shemeji zenu!
 
Back
Top Bottom