St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,645
- 11,153
Mkuu hio avatar yangu huioni hio picha hata useme mimi jinsia yangu iwe ya kike? kuwa na manukato mengi ni kubadilisha harufu tofauti sio unakuwa unanukia hivyo hivyo kila siku. Ikiwa huwezi kuvaa nguo hio hio kila siku basi na mimi siwezi kuweka cologne hio hio kila siku.Bila Shaka we ni KE; meza iko na madude mengi,my table has only Caron's Poivre labda na lotion Moja na deodorant...