Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,618
Hakuna bunduki wala nini,wote watachakachuliwa. Nitammis sana Rais SlaaMie nawaone huruma wote watakaoteuliwa kuwa mawaziri bunge hili...maana hizi bunduki zinazoenda si mchezo... Peoples power at work