Nkerejiwa
Senior Member
- Feb 25, 2014
- 146
- 214
Nimeona andiko la mdau World light akiwatuhumu TRA kwa mambo ambayo angejipa muda na kusoma angeelewa maana ni mambo ambayo yako wazi sana. Iko hivi
Ni muhimu kuelewa mifumo yetu ya kodi na sheria zake ili usiwaonee kina Samia na Mwigulu bure! na hapa nitatoa elimu ya kodi kidogo.
#Mfumo wetu wa kutoza kodi za kipato yaani Income Tax ikiwemo PAYE umejengwa katika principle inaitwa Progressive Tax Principle na ni principle ya kikodi inayotumika duniani kote! Kwa mujibu wa hii principle ni kwamba kiwango cha kodi hutegemea kiwango cha kipato kinachotakiwa kutozwa kodi, The Higher the Income, The Higher the rate.
Na kwa kutumia hii principle ndo hata madaraja yetu ya kodi huwa programmed hivyo kwamba anaepata kikubwa analipa kikubwa na hivyo hivyo anaepata kidogo analipa kidogo. Kwa kuzingatia hii principle ni kwamba si kila kundi la mtu mwenye kipato cha ajira yuko subjected to a flat rate ya 8% aloisema Dr. Samia katika hotuba yake ya 01 | 05 | 2021, kodi ya nchi hii haitozwi kwa kauli za kisiasa, kodi inatozwa kwa basis ya kisheria na zaidi ibara ya 138 ya Katiba yetu ya mwaka 1977.
Sasa swali ni kwanini malimbikizo ya malipo ya mishahara ya miezi kadhaa hayapo subject to a flat rate ya 8% inayotomika katika PAYE?
1. Ziko sababu kadhaa hapa na kwa kuweka clarity ieleweke kwamba haya malipo yanaitwa kisheria Lump Sum Payments ambayo yana cover fidia, bonus etc na ieleweke kwamba mfumo wake wa malipo pia huzingatia Progressive Tax Principle kwamba the more you earn, the more you pay tax.
2. Kodi ya kipato cha ajira haitozwi kwa kuhesabu miezi, inatozwa kuwa rate, na rate huzingatia kiwango ambacho mwajiriwa amepokea kwa wakati huo. Kwa hiyo kujua % ya kucharge hutegemea na kiwango kilichopokelewa kwa wakati huo ili kujua a Threshold yake kama inafaa kuwa katika rate ipi aidha 8% au 20% au 30% ambayo ni maximum. Huwezi pata 200k ukawa charged kwa rate ya 30% na vivyo hivyo huwezi pata Mil 5 ukawa charged kwa rate ya 8%. Ni sheria na a Global practice ambayo kulaumu Mwigulu au Samia ni kuwaonea.
Tuna mambo kadhaa ya kulaumu lakini si haya yahusuyo kodi na sheria zake.