CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,254
- 12,872
wadada mnakumbuka mkanda wa kipepeo na mokasi. dah cku ukivaa hvo afu ukaenda church lazima upige picha!
mi vyazamani cvjui but napenda alichoki na fowengo!!
hahahahahahahahahahahahhahaafu ukinunua barafu unawagawia wenzio yale maji ya barafu. wkt huo mikono michafu umeshka vumbi lakn wala hata hujali!
afu ukinunua barafu unawagawia wenzio yale maji ya barafu. wkt huo mikono michafu umeshka vumbi lakn wala hata hujali!
wadada mnakumbuka mkanda wa kipepeo na mokasi. dah cku ukivaa hvo afu ukaenda church lazima upige picha!
hahahahahahahahahahahahhaha
charm umenikunbusha kitu me nilikuwa kama bodyguard wa mtu nambebea madaftari alaf mapumziko ananikatia barafu. Yani weeee acha tu!
wadada mnakumbuka mkanda wa kipepeo na mokasi. dah cku ukivaa hvo afu ukaenda church lazima upige picha!
zamani nlikuwa cvaag viatu!!Vya juzi tu
au unashika kiuno mikono miwili huku umesimama kama mgambo!!alaf picha zenu pozi lazima pembeni umeshika ua au mikono umeweka kifuani.
Barafu yenye sukari+maji+rangi,unakula na bagia za shilingi..
alaf picha zenu pozi lazima pembeni umeshika ua au mikono umeweka kifuani.
asikwambie mtu mwanafunz ni mwanafunz tu hata awe mtu mzima bdo ni mwanafunzi. juz kati tupo chuo nikanunua karanga c wanafunz wengne wakawa wananiomba pakiti yenyewe moja, nliwagawia bt nlicheka kweli kuna wengne walipata tukaranga cjui tutano lakn waliridhika tu!

Sukari Guru,shiling moja.kipande,ukinunu unailamba siku nzima.
au umeshika kiuno kama unamsuta mtu
hahahahahahahahahahahahahha
yan mwanafunzi habadiliki kabisa
nakumbuka kipindi hiko chips za 50 mnagawana watu wengi
au umeshika kiuno kama unamsuta mtu
Kama uja nunuliwa kiatu cha sikukuu au nguo lazima ulie maana uwezi kwenda kutembea