Tujikumbushe viatu Saa Nane utanikoma Vs Chacha.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
kati ya viatu ambvyo nilivifurahia ni Saa Nane utanikoma na Soksi za Punda milia,kwa wale wa siku mingi hapa wata taja Laisoni,pekosi na model suruali,na Music yao ya pumping...du...
Tupia wewe ulipenda sample ipi hapo...
 
Hahahahahahahahahahahahahah
umenikumbusha mbali sana na kumbuka nilikuwa natinga loso na soksi za pundamilia, sasa nikija kurudi home soksi zimejaa vumbi na mimba mimba kama si majani.

Yan hapa nilikuwa nikirudi ni kuangaika kutoa miba au majani kwenye soksi zilikuwa zina nikera sana,alaf azichelewi kutanuka juu.
 
Kama jagi la Chibuku.
 
Zilikuwa zinalewa sana Vumbi...gafla zimeachana
 
Hahahahahahahahahahahahahah
umenikumbusha mbali sana na kumbuka nilikuwa natinga loso na soksi za pundamilia, sasa nikija kurudi home soksi zimejaa vumbi na mimba mimba kama si majani.

Yan hapa nilikuwa nikirudi ni kuangaika kutoa miba au majani kwenye soksi zilikuwa zina nikera sana,alaf azichelewi kutanuka juu.

mh, mimba mimba ndo nini mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom