Tujikumbushe viatu Saa Nane utanikoma Vs Chacha.

Mie nakumbuka mdingi alinunua viatu vya kungaa unafuta tu na kuna jamaa yetu alikua ni viatu vikali kweli vya batman,ila chachacha vilikua vinatoka italy enzi hzo!
 
enzi hzo kiukwel tulikuwa vizur kwny 80's, tena dingi alikuwa na pigeot afu
hahahahahahahahahahahhaha
umenikumbusha mbali sana jirani yetu alitamba sana na hili gari enzi hizo
alikuwa nayo pekeake enzi hzo!

hiyo tunaita mgongo wa chura
kweli we mboga tisa
 
wakuu mnakumbuka. kobukobu ambazo saiv zinaitwa gam boot cjui nimepatia. bas hm kila mtoto alikuwa nazo. unakuta unacheza mimaji inaingia kwa ndan lakn bdo umo tu.ukivua miguu inanuka hyo. lol utoto bwana. . . vituko sana
 
Bila hzo kununuliwa huogi
 
afu ukinunua barafu unawagawia wenzio yale maji ya barafu. wkt huo mikono michafu umeshka vumbi lakn wala hata hujali!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom