Tujikumbushe tuition za ukweli enzi hizo tukiwa madenti

Inanikumbusha mbali sana,toka primary kule mabibo/Mburahati (Ibunga,BR,MT,Dani),
O-level(Mchikichini,Ubungo,Mwenge-mapambano, nk.) na
Advance(Mkandawile,Makomako,Busanji,Mama Shija,Mtiga nk.),
kweli elimu ilikuwa inatafutwa na kupiganiwa kama vita,
siwezi kusahau Azaboy na ma-teacher wake kama(Kwayu,Mchwampaka,' Tokyo',Primsi 'mzee wa Permfects', mama Dathi,Hemedi, 'Mama Density', Msafiri), dah kweli mchumia juani hulia kivulini!

Hapo mchikichini kulikuwa na mwl wa maths anaitwa iden agenda property na mwingine alikuwa mtalamu wa physics ni mwl muddy hawa jamaa wamesaidia sana wanafunzi kuwa na maisha mazuri,
 
...ebwana Mkuu umenikumbusha hom enzi ya AZABOY ya 1999/2002,chini ya Baba Kwayu,Mchwampaka,Mkongo,Msafiri mzee wa Kiswahili,etc..,ila wengineo enzi zile ninaowakumbuka ni OCTAVIAN JAVERTY,CHARLES MICHAEL,MARTIN NTABAJANA,ISMAIL''SUMA'',GIBONCE SIMULE,SHOMARI,ISAACK,ISSA MWIKALO,GIBONCE ANTHONY,ELZEUS MELCHIOR,etc..

1)''..let us end here at zis particular conjuncture,bkoz tm is aproachin at infinity,2moro we wil continue wiz ANGULAR MOTION..,huyo ni.........,jembe la PHYSICS!!!''
2)''..haaya,amunje amunje,akabraket,akamainaz kisha akaplas,huyo ni.........,jembe la NAMBA.''
3)''..madogo hebu acheni zenu,REPRODUCTION NI TOPIC NGUMU SANA,huyo ni.......,jembe la BIOLOGY baada ya NGIDA kutokuwa fresh kiafya.
Adavance namkumbuka MKANDAWILE-Chemistry,MAKUMAKU-Bios,BUSANJI-Physics..,hawa jamaa walisaidia wengi sana kutoka A-LEVEL.

Mkuu umenikumbusha mbali sn huyo no 1. ni mwl muddy akisema hayo manemo hapo unaanda mkwanja then jamaa anakuja mlangoni anachukua chake no 2. ni Iden agenda nakumbuka Darasa lilikuwa alipo mbali sana na mabanda ya mbuzi lkn wanafunzi hawakuona ni tatizo watu wanataka elimu.
 
...Mkuu kapistrano,yani kama ingekuwa ni pepa basi nakupa 100%,kama umeweza kukumbuka hizi sentensi nazani2likuwa class moja la 1999/2002 pale AZABOY,am happy to knw zat bado kuna wana AZABOY wengi wako JF,mor zan zat ol ova ze world,nakumbuka mpaka Mudy anaondoka nilikuwa nimebakiza MAGNETISM na ELECTRONICS kuua silabasi,nikiwa form TWO,ambapo nilikuja kuzipiga kwa BATAMBUZI form THREE,sio mbuzi tuu,ila zile toilets zilikuwa open,ile smell na ule mfereji,daah si mchezo lile life,nakumbuka siku ya kwanza tuu kufika class kabla sijamjua hata mwalimu,kuna masela wakaja kututangazia TWITI tofauti tofauti na kupiga lebo za AZABOY KINYEMELA...
 
mkuu nakumbuka sn vile vibenchi vya kukalia pale kwa iden ukikaa vibaya unanguka nacho tena vilikuwa very local na ilikuwa ni taabu ukichelewa unakuta Darasa lipo full inabidi ukae kwenye kichocholo cha mbuzi ni bora yale maeneo ya kwa muddy nilipofika mara ya kwanza nikapigiwa topic ya motion kuanzia hapo sikumiss hata pindi moja na kama unakumbuka wanafunzi wengi walikuwa wanatumia rough paper(mkeka) then ukirudi home ndio unahamisha kwa counterbook shule ilikuwa mnakutana Mchikichini.
 
...anhaaa,ile MIKEKA ilikuwa ni nomaa,unakuta mtu ana anakeka mita 20 vile urefu,ndani lina PHYSICS,CHEMIA,BIOS NA NAMBA,zen kuna ile staili ya kuandika kwenye COUNTER BUKS kwa eiza kukunja karatasi kati au kupiga mstari katikati ya page moja ili upate TWO PAGES IN ONE PAGE,ilikuwa ni ngumu kumis pindi la MUDDY Kaka,hata kama hauko kwenye mood,ile sauti na staili yake unarudi kwenye mstari tuu...
 
Hivi mkuu muddy bado yupo maana kuna kipindi nilisikia anataka kwenda majuu na kama tungekua tunaweza kuenzi vipawa vya watu yule jamaa ni lulu sn ktk industry ya physics maana huwa habatishi then kwa iden kulikuwa na siku za solving kila dent alikuwa anakuja na paper lake la maswali ya NECTA then teacher anakata swali moja moja sijui km siku hizi mb hayo yapo.
 
...Mie pia nliskia kuwa MUDDY anarusha kwenda US,ila by zat tm sikuwa Tz,na bado sijarudi Tz kimoja,stl napiga skuli ila soon nafunga jalada,sijawahi pata infoz za kuaminika kuhusu hawa jamaa,hop one day I get anaza tm2meet zem...
 
mkuu tumshukuru mungu sana yani tulivyokuwa tunasoma ktk mazingira magumu na leo tulipo ni jambo la kumshukulu mungu sn kwani ndoto za kipindi kile ilikuwa kumpa muddy shilingi 200 au 150 ilikuwa ni bonge la inshu ila leo hii unamawaza ya mb ya juu kuliko tulipotoka kweli mchumia juani hula kivulini.
 
...very sure Kaka,zats why nasema I wish I get tm in future2meet wiz ziz guys and atleast say thnx2zem,nakumbuka Mie nilianza na Sh50,ikapanda mpaka Sh100 wakati namaliza silabasi,na mara nyingi tuu nilikuwa napiga DEO smtmz,wakati mwingine hata nikiwa na hela ya kulipia,ila basi kwasabu ni AZABOY,ilikuwa kama ni RITUAL kupitia aina fulani ya maisha,kama vile kutowakubali watoto wa Jangwani,etc...
 
wakija wale waliobalikiwa kiakili yaani Mzumbe, Ilboru na Kibaha + Tabora Boyz.
hapa umenichefua!! kwani wewe hujabarikiwa akili?? haya ni mawazo ya miaka ya 1930 na1980!! amka acha kulala hatunaga hivyo vitu kwenye huu ulimwengu wa sasa!!!
 
...very sure Kaka,zats why nasema I wish I get tm in future2meet wiz ziz guys and atleast say thnx2zem,nakumbuka Mie nilianza na Sh50,ikapanda mpaka Sh100 wakati namaliza silabasi,na mara nyingi tuu nilikuwa napiga DEO smtmz,wakati mwingine hata nikiwa na hela ya kulipia,ila basi kwasabu ni AZABOY,ilikuwa kama ni RITUAL kupitia aina fulani ya maisha,kama vile kutowakubali watoto wa Jangwani,etc...
Mb ya kupiga deo nakumbuka ila kuna kipindi muddy alimchukua baunsa mmoja alikua anamkusanyai jiti jiti zake hivyo kupiga deo ikawa ni shida mmno labda usikie sauti tu na maeneo yale kulikuwa hakuna msosi naunakumbuka ile mitaro ya maji machafu kule kwa iden ilikuwa na halufu ya bia ilikuwa inatokea kule juu kiwanda cha Bia hali ilikuwa mbaya pindi mvua anaponyesha.
 
Dah! michango yenu mitam sana, ila watoto wa dotcom au sura kitabu hawasomi kabisa! watoto wanasoma head phone masikioni!
 
Pia Mzee Kazibure (RIP) akitoka Kibaha Sec. Ni kipindi hiki Mzee Ruksa akiwa Prezda wetu alipopata skendo ya kwenda kuangalia 'Isambe' wakti Madaktari wa Muhimbili wamegoma!
A very nostalgic era. Kazibure alikuwa na reputation kwamba anayofundisha hayatoki kwenye NEC lakini kwa wanaotaka kuelewa the fundaments of physics, especially quantum mechanics, then he was your guy.

The legend is that kabla ya kwenda Kibaha Sekondari na Tambaza, Kazibure alikuwa chief engineer Radio Tanzania ya Nyerere. On that fateful day Nyerere alichelewa kufika kwenye scheduled event Mtwara. Kazibure akaamuru broadcast irudishwe main studios Dar-es-Salaam kuendelea na vipindi vingine mpaka Nyerere atakapofika. Nyerere aliposikia he was apoplectic. Kazibure akalaaniwa kwamba akafundishe shule! Akafutwa RTD. Tanzania ya siku zile chama cha wafanyaki ni JUWATA, Jumuiya ya Chama, bosi wa JUWATA Mwenyekiti wa Chama. Yani mkubwa wa chama cha wafanyakazi kitakachokutetea ukiwa na kesi na bosi wako ni bosi wako! Hahahahaa....

So he became a pysics teacher. His lectures were as exquisite as his temperament, he never once raised his voice above a decibel threshold. Rest in eternal peace Mwalimu Kazibure. Rest in eternal peace Mwalimu Nyerere, you also, were a good man, more often than not.
 
mbuga kwa biology
aiden kwa namba yani ilikuwa pindi sh100 dah hawa watu noma
 
kuna ticha mmoja mrefu alikuwa anafundisha fizikia sikumbuki jina lake - wanafunzi walikuwa wanajiuliza waende kwake au kwa babu kazibure (huyu mzee alikuwa hatumii kitabu kufundishia na inasemekana alikuwa anadai nelkon alisoma naye na alikuwa mchovu tu darasani hivyo hawezi kutumia kitabu chake - michoro na maswali yake yalikuwa yamekaa kama ya kitabu cha university physics!)

Hahahahahahah nimecheka kweli huyo Mzee bangi mwanzo mwenga.

Eti nelkon mchovu hahaaahhah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom