Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

ukikosa KAMATA la wiki ijayo, kakate RELWE la mwezi ujao. Safari Dar-Mbeya 2 days, kulala Iringa. Dah, acha tu.
Je mnaifahamu DMT iliyokuwa inasafari kati ya DAR na karibu mikoa yote.Baadae ikaja KAMATA. Kwa wale wa kanda ya ziwa mnaikumbuka Tanganyika Bus, African Bus,Musoma Bus, Ngoreme bus,united bus,Harub Nassoro, Rehemtulla n.k.
 
546256_280378672059261_595558657_n.jpg
kitu vitu laini
546256_280378672059261_595558657_n.jpg
maulimembe hiyo kama mkate na ngokole express standi ya iringa
556467_471402182875298_1331728877_n.jpg
enzi hizo kwa sie wa iringa maulimembe, bembeleza mwana, vitu laini, frolida, king cross, lupombwe, kwacha, comfort, living light, mpaka siku hizi kuna ya kisasa kama upendo, deluxe, sumry, nyagawa, tonda,
 
kulikuwa na mabasi ya "SIRI YAKO"Dodoma-Dar, yanamilikiwa na mwanamke.sijui kwa nini aliyapa hilo jina!au aliyapata kutokana na uchumi wake aliokuwa ameukalia,.a.k.a O713!!!
 
Habari za jioni wana jamvi...alhamisi ya leo tulivu ikiwa ndio hivyo inaelekea ukingoni nikaona sio vibaya tukikumbushana mabasi yaliyowahi kutamba enzi hizo....
mfano:-
SIRI YAKO
THE BIG MAYAI
ZAINABU
NJUWENI
CAT BUS
BIN CLEBO
KWACHA
SIMBA RUARA

HAYA WANA JAMVI NAWAKILISHA.
 
IRANGA MOTO...DAR -TUNDUMA
BAZOO....DAR -MOSHI
MAPANDE BEACH....DAR -MOSHI


Sent from my GT-N7000 using Tapatalk 2
 
Habari za jioni wana jamvi...alhamisi ya leo tulivu ikiwa ndio hivyo inaelekea ukingoni nikaona sio vibaya tukikumbushana mabasi yaliyowahi kutamba enzi hizo....
mfano:-
SIRI YAKO
THE BIG MAYAI
ZAINABU
NJUWENI
CAT BUS
BIN CLEBO
KWACHA
SIMBA RUARA

HAYA WANA JAMVI NAWAKILISHA.

Zafanana....
 
Back
Top Bottom