Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
Hahahahahahahahaaaaaaa
Zawadi ni zawadi....lol
Anakifaa sana
Nishakariri msimamo wangu, Canta anaongoza mchakato katika kura za maoni...
Hahahahahahahahaaaaaaa
Zawadi ni zawadi....lol
Anakifaa sana
Dubu, acha kupoteza watu, Ban ipo kama kawaida. Halafu mambo machafu nilikwambia PM ni yapi? Mbona tuliongea tu kama watu wazima? haikua lazima kuanzisha uzi hapa. Na ukisema yale nilisema, na mimi nasema yako.
Dah natafakari kama Bi Nyakomba atakufaa...Nishakariri msimamo wangu, Canta anaongoza mchakato katika kura za maoni...
Hahahhahaaaaa
Weraaaaaaaaaa RR sema mama lol
Haya mambo mazito sana
Dah natafakari kama Bi Nyakomba atakufaa...
Hebu ngoja nikaongee na Amy ntakuambia baadae
Huyu Mphamvu nitampa ban mara tatu: kwanza anapotosha Umma eti Mods wote wako jukwaa la siasa. Pili anaweka PM hadharani. Tatu anasema kua leo Hakuna Ban. Is it?
Humjui?Bi Nyakomba ndio nani tena?
Usije ukaniuzia mbuzi mukiroba mkuu...
Kwanini unanitangazia ubaya mpenzi?
Utadhani aliyeweka thread hujamwona, au ushakariri kuwa mimi ndio troublesome...
Chunga sana, maana kwenye mchakato wa kutafuta mwandani wangu wewe unashika nafasi ya pili, Canta akiwa amekuacha kura nyingi sana... Hii itakupunguzia credit.
Hahahahaha, sorry Mphamvu, nimeona jina lako na likanijia direct mdomoni. NImesha badili pale, I actually meant Dubu. Vipi Canta, anapangika?
Mapenzi kikohozi? lolest. Mi nimeolewa bwana. Hata huyo dubu namzingua tu. lol. Polygamy inaruhusiwa, muulize The Boss anatoa wapi kibali.Usijali, najua nimejaa tele moyoni kwako, afu si unajua kuwa penzi ni kikohozi?
Canta bwana anajifanya mahaba na Rejao yamemkolea, though mapenzi yenyewe ni 'Falling Roman Empire'... Ikibidi itabidi nisubiri kama fisi na mkono wa mlevi, ukidondoka tu ninao.
Hivi polygamy inaruhusiwa humu?
HahahahahaaaaCanta bwana anajifanya mahaba na Rejao yamemkolea, though mapenzi yenyewe ni 'Falling Roman Empire'... Ikibidi itabidi nisubiri kama fisi na mkono wa mlevi, ukidondoka tu ninao.
Hivi polygamy inaruhusiwa humu?
Dubu, acha kupoteza watu, Ban ipo kama kawaida. Halafu mambo machafu nilikwambia PM ni yapi? Mbona tuliongea tu kama watu wazima? haikua lazima kuanzisha uzi hapa. Na ukisema yale nilisema, na mimi nasema yako.
ngoja nimtafute mwanasheria wangu wa maswala ya mapenzi kabla sijaanika PM zote hapa.
Jamani eeeh kwa tarifa yenu kitufe cha BAN kimepotea katika mazingira ya kutatanisha so musiogope kujiachia. weraaaweraaaa...!!!
Mapenzi kikohozi? lolest. Mi nimeolewa bwana. Hata huyo dubu namzingua tu. lol. Polygamy inaruhusiwa, muulize The Boss anatoa wapi kibali.
Hahahahahaaaa
Canta mbona yuko free..
Rejao amemwacha coz Canta ni Chadema na Rejao CCM so kila siku siasa inawavuruga...
Lol tupa ndoano ujaribu bahati yako.....
Uwiiiiii! Hii sasa kali.Mimi dubu alinitongoza nikamtolea nje! eti angenigaiya peremende.
Uwiiiiii! Hii sasa kali.
Dubu kakudharau sana mwaya. Peremende?
Mi nilipata tatizo na inbox yangu toka january.Imagine? Umeona hata wewe? Namshangaa hata yupo kumwaga umbea wa wenzie hapa.
Mbona wewe hujatoa umbea wako? lolz
Mi nilipata tatizo na inbox yangu toka january.
Kuna mtu alinitumia email ikanikwaza, nikamwambia Uncle
Basi toka hapo akafunga inbox yangu na anakaa na funguo
Sipokei PM yoyote, siwezi tuma PM except kwa family members.