tujiachie chit chat coz mamoderator wote wapo jukwaa la siasa.

Dubu, acha kupoteza watu, Ban ipo kama kawaida. Halafu mambo machafu nilikwambia PM ni yapi? Mbona tuliongea tu kama watu wazima? haikua lazima kuanzisha uzi hapa. Na ukisema yale nilisema, na mimi nasema yako.

Hahahhahaaaaa
Weraaaaaaaaaa RR sema mama lol
Haya mambo mazito sana
 
Hahahhahaaaaa
Weraaaaaaaaaa RR sema mama lol
Haya mambo mazito sana

Huyu Dubu nitampa ban mara tatu: kwanza anapotosha Umma eti Mods wote wako jukwaa la siasa. Pili anaweka PM hadharani. Tatu anasema kua leo Hakuna Ban. Is it?
 
Huyu Mphamvu nitampa ban mara tatu: kwanza anapotosha Umma eti Mods wote wako jukwaa la siasa. Pili anaweka PM hadharani. Tatu anasema kua leo Hakuna Ban. Is it?

Kwanini unanitangazia ubaya mpenzi?
Utadhani aliyeweka thread hujamwona, au ushakariri kuwa mimi ndio troublesome...
Chunga sana, maana kwenye mchakato wa kutafuta mwandani wangu wewe unashika nafasi ya pili, Canta akiwa amekuacha kura nyingi sana... Hii itakupunguzia credit.
 
Hahahahaha, sorry Mphamvu, nimeona jina lako na likanijia direct mdomoni. NImesha badili pale, I actually meant Dubu. Vipi Canta, anapangika?
 
Usijali, najua nimejaa tele moyoni kwako, afu si unajua kuwa penzi ni kikohozi?
Canta bwana anajifanya mahaba na Rejao yamemkolea, though mapenzi yenyewe ni 'Falling Roman Empire'... Ikibidi itabidi nisubiri kama fisi na mkono wa mlevi, ukidondoka tu ninao.
Hivi polygamy inaruhusiwa humu?
 
Mapenzi kikohozi? lolest. Mi nimeolewa bwana. Hata huyo dubu namzingua tu. lol. Polygamy inaruhusiwa, muulize The Boss anatoa wapi kibali.
 
Hahahahahaaaa
Canta mbona yuko free..
Rejao amemwacha coz Canta ni Chadema na Rejao CCM so kila siku siasa inawavuruga...
Lol tupa ndoano ujaribu bahati yako.....
 
Dubu, acha kupoteza watu, Ban ipo kama kawaida. Halafu mambo machafu nilikwambia PM ni yapi? Mbona tuliongea tu kama watu wazima? haikua lazima kuanzisha uzi hapa. Na ukisema yale nilisema, na mimi nasema yako.

ngoja nimtafute mwanasheria wangu wa maswala ya mapenzi kabla sijaanika PM zote hapa.
Jamani eeeh kwa tarifa yenu kitufe cha BAN kimepotea katika mazingira ya kutatanisha so musiogope kujiachia. weraaaweraaaa...!!!
 
Lol Nyuki hakumbatiwi hata kana anatoa Asali
 
Mapenzi kikohozi? lolest. Mi nimeolewa bwana. Hata huyo dubu namzingua tu. lol. Polygamy inaruhusiwa, muulize The Boss anatoa wapi kibali.

Aaah mrembo? Najua wajua kuwa najua kama ndoa ni document tu, ila mapenzi yako moyoni.
Huoni kama utakuwa umenitunuku nafasi adimu ya kung'oa JF Super Moderator? Kamoon, usiwe mkatili kwa mtoto wa mwanamke mwenzio...
 
Hahahahahaaaa
Canta mbona yuko free..
Rejao amemwacha coz Canta ni Chadema na Rejao CCM so kila siku siasa inawavuruga...
Lol tupa ndoano ujaribu bahati yako.....

Canta nimegundua ananipenda sana, nimecheki kwenye profile yangu nikagundua kuwa anatembeleaga mara nyingi walau a-feel uwepo wangu, kwa hiyo ngoja nimletee mashauzi kidogo, hataki anaacha!
Sasa hivi nataka nimweke sawa Supa Modereta...
 
Mimi dubu alinitongoza nikamtolea nje! eti angenigaiya peremende.
 
Imagine? Umeona hata wewe? Namshangaa hata yupo kumwaga umbea wa wenzie hapa.

Mbona wewe hujatoa umbea wako? lolz
Mi nilipata tatizo na inbox yangu toka january.
Kuna mtu alinitumia email ikanikwaza, nikamwambia Uncle
Basi toka hapo akafunga inbox yangu na anakaa na funguo
Sipokei PM yoyote, siwezi tuma PM except kwa family members.
 
Hii kali! Hivo ina mana unaniambia kua hata hurusiwi kutongozwa?

mbona wanakubania angalia usije ukajisahau umri wa kuolewa ukapitilizia hapo hapo nyumbani.
 
Back
Top Bottom