Tuitazame MMU Kwa jicho jipya!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Licha ya kwamba watanzania wana matatizo mengi hasa ya kiuchumi na kisiasa bado tatizo la mapenzi, mahusiano na urafiki ni changamoto yao ya kila siku. Utashangaa nikikwambia kuwa MMU (Mapenzi, mahusiano na urafiki) ni kimbilio la walio wengi. Binafsi naweza kusema kuwa hili ni jukwaa bora likishika nafasi ya pili kwa pamoja na jukwaa la uchumi, Tech & gadgets Majukwaa haya matatu nayapa nafasi sawa kutokana na umuhimu wake. Jukwaa ambalo nalipa namba moja kwa umuhimu ni JF DOCTOR.

Lengo lak kuanzisha Thread hii ni kutaka kutoa pendekezo langu kwa wapenzi na washabiki wa jukwaa hili.
Kama utafuatilia vizuri post zinazokuja hapa utagundua haya yafuatayo.

  1. Baadhi ya post zinazoletwa hapa jamvini si tu za kitoto bali pia zimeletwa na watoto hasa. Kama utafuatilia kiundani utakuta ni post za wanafunzi ambao bado wako shuleni na hawana haki na mambo wanayoyazungumzia.
  2. Wengi hunufaika kwa mawazo mbalimbali wanayoyapata hapa MMU ingawa wanapouliza hawaweki wazi kuwa hizo shida ni za kwao, utaona mtu akiandika kuwa hicho anachotaka msaada kimemkuta rafiki yake au jirani yake wakati ukweli yeye mwenyewe ndio muhusika, Hili sio baya ni maamuzi ya mtu kulinda P yake.
  3. Hili ni jukwaa ambalo linapunguza machungu mbalimbali ya kitaifa yanayotukabili.
  4. Hili ni jukwaa ambalo tofauti na SIASA ambako mara nyingi ni malalamiko ambayo hayapatikani ufumbuzi wake, huku ufumbuzi unaupata moja kwa moja licha ya utani na mbwembwe za hapa na pale ambazo muhusika hujua wazi kwamba kitu hiki ni utani.
  5. Kwenye siasa kuna watu wanakuwa wameshika mpini wakati sisi huku jukwaani tumeshika makali lakini MMU Mpini na makali vyote vipo kwako
Hivyo basi ipo haja ya kubadilisha mwenendo mzima wa jukwaa hili! Utani sawa! Lakini zile post ambazo zinaonekana wazi ni za watoto bora zisichangiwe. Hapa hakuna haja ya kufafanua sana kwani zinajulikana, sana sana ni kujaza Thread na kupeana taabu kutafuta thread ya kuchangia. Pili ningependa kuwashauri watoto wenyewe kuacha kukimbilia mambo ambayo muda wake haujafika.

Mwisho napenda kushauri kuwa tuache Lugha kali kwani kuna jukwaa maalum la mambo kama hayo.

NAWASILISHA.
 
Baadhi ya post zinazoletwa hapa jamvini si tu za kitoto bali pia zimeletwa na watoto hasa. Kama utafuatilia kiundani utakuta ni post za wanafunzi ambao bado wako shuleni na hawana haki na mambo wanayoyazungumzia.

That is a statement of fact. Can you back it up with incontrovertible supporting evidence?
 
Kweli kabisa, na wengine utakuta wanaachia thread ishirini kwa siku utafikiri MMU ni spesho kwao tu, mmkuu thanx kwa mchanganuo huu

wengine wanapost ile kutuchangamsha tu na sio kama wana matatizo hayo wanayotaka washauriwe.

Mm cna post hata moja bt lazima niwe jukwaa hili daily mbali na kufurah napata mafunzo mbali mbali pia.
Let me say thanx to all MMU members. Pamoja sana wadau.
 
Hata jukwaa la siasa lipo poa. Hili jukwaa mnalipa nafasi kubwa pamoja na hilo jukwaa la siasa nadhani kwa sababu ya nature ya watu wetu (watanzania), tumekua tukipenda kutokujishughurisha kufikiri/kifikra sana, mapenzi yametawala akili na mawazo yetu sana. Hili jukwaa kwangu ni kama kijiwe cha kupiga soga tu!
 
Hata jukwaa la siasa lipo poa. Hili jukwaa mnalipa nafasi kubwa pamoja na hilo jukwaa la siasa nadhani kwa sababu ya nature ya watu wetu (watanzania), tumekua tukipenda kutokujishughurisha kufikiri/kifikra sana, mapenzi yametawala akili na mawazo yetu sana. Hili jukwaa kwangu ni kama kijiwe cha kupiga soga tu!

mkuu acha hizo, hapa ndo mwisho wa matatizo mana solution zinatolewa hapa so is up to client kumeza au kutema!
 
mkuu acha hizo, hapa ndo mwisho wa matatizo mana solution zinatolewa hapa so is up to client kumeza au kutema!
Hahahaa! Kuna clients wana vichwa vya panzi, vilaza kinyama.. wanakuja humu kasaka mademu na kujisifia ktk ngono.

ILA KWELI MMU KIBOKO, WATU WANATEMA MAMBO UCPIME! Imesababisha facebook niipotezee kitambo!
 
Tuko pamoja mr. gazeti... watoto wakalale..ila lingeanzishwa jukwaa lao...jf inatazamwa na watu wengi wa kada/umri mbalimbali kama burdani/malengo maalum...na hata inachukuliwa kama sehemu ambayo waweza pata mtizamo wa vijana wasomi wa tz ktk mambo mbalimbali..na hata research za kisiasa zinafanyika humu..jf imeongeza wigo-kazi wa ile idara yetu TISS..wanakesha humu..pasua kichwa jinsi ya kuzima/kuicontrol hii kitu.
 
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
Hahahaa! Kuna clients wana vichwa vya panzi, vilaza kinyama.. wanakuja humu kasaka mademu na kujisifia ktk ngono. ILA KWELI MMU KIBOKO, WATU WANATEMA MAMBO UCPIME! Imesababisha facebook niipotezee kitambo!

haaah haaah facebuk ina mizaha mingi then wengi wauza nyago tu. Hapa ndio mwanzo mwisho! Long life Jf
 
Gazeti kuna Idea ulikaribia kuigusa lakini hukui attack directly, there are some of the members who use complicated IDs then acting as if they are men while women and vice vesa,
In additition to that watu wanaleta utani MMU, wakati kuna jukwaa la utani, mtu anathubutu kuja na thread mbili yenye themes tofauti kabisa hadi unahisi kukasirika, mfn,

Demu wangu anapiga kelele hadi wapangaji wenzangu wananitaka nihame,

Huyohuyo member akaja na thread nyingine yenye title

Demu wangu analalamika eti mimi nina kibamia!!

sasa huu si mchezo wa kitoto?
 
kwa hao tunaosadiki ni 'watoto', sisi wenyewe tunawaendekeza kwa kwenda kuwachekeachekea huko kwenye nyuzi zao. Laiti tungewa'ignore' na nyuzi zao za kitoto zikawadodea hapo kama viporo vya Nguna la dona, sidhani kama wangeendelea na huo 'utoto' (kwangu ni ujinga)

We are partly to be blamed for we do intertain that!.
 
Gazeti kuna Idea ulikaribia kuigusa lakini hukui attack directly, there are some of the members who use complicated IDs then acting as if they are men while women and vice vesa,

In additition to that watu wanaleta utani MMU, wakati kuna jukwaa la utani, mtu anathubutu kuja na thread mbili yenye themes tofauti kabisa hadi unahisi kukasirika, mfn,

Demu wangu anapiga kelele hadi wapangaji wenzangu wananitaka nihame,

Huyohuyo member akaja na thread nyingine yenye title

Demu wangu analalamika eti mimi nina kibamia!!

sasa huu si mchezo wa kitoto?

FB nakubaliana na mtazamo wako bt hapo kwenye mifano uliyotoa bado haipo njema coz kupiga makelele kwa mwanamke na mwanaume kuwa na kabamia ni vitu viwili tufauti.

Tambua kuwa mwanamke kupiga kelele si maumivu anayopata kutokana na ukubwa wa mtwangio hapana ni raha tu ndio zinawafanya watoe ukelele

so hapa inategemea sasa hizo raha unampa vipi au unamfikishaje huko kwenye raha?

Mwananaume anaweza kuwa na kabamia na bado mwanamke akapia makelele kwa raha apatayo tena sana tu, ni kiasi cha kutumia kucha,vidole,ndevu na ulimi wako vizuri then finaly unamalizia na kabamia chako.
Kwa maelezo zaidi ni pm.
 
Hoja zako mleta thread ni dhaifu mno na haujajipanga, hili jukwaa kwangu ni kjiwe cha kuja kujifurahisha haliwezi kuwa namba 2 kwa umuhimu, all in all jukwaa la siasa ndio namba 1.
Kama siasa haijakaa vizuri hakuna cha mmu wala uchumi,
By the way picha yako inaonesha na wewe bado mtoto.
 
Back
Top Bottom