Humphrey Polepole
Member
- Nov 15, 2010
- 19
- 230
Kijana Humphrey Polepole, ubarikiwe sana kwa jitihada zako katika kuielimisha hii jamii ya wadanganyika. Kama alivyowahi kusema mchangiaji moja humu; Tanzania tuna kila kitu isipokuwa Watanganyika.
Kwenye draft constitution ya tume, serikali ya muungano ilikuwa imepewa uwezo wa ku-forsee resources zipi? Unaweza kutupa mfano?,
Apunguze makelele sasa.Asambaze katiba ya chama cha mapinduzi sasa.njaa kali ilikua inamtesa huyu Polepole.
Umeisha mtumia na magu? Si unacontact zake!
Akijiroga kumtumia kibarua kitaota nyasi.Umeisha mtumia na magu? Si unacontact zake!
QwHakuna tena kuisambaza,
Ni kuichoma moto tu
mnafiki ni mnafiki tu.
swissme
Umeisha mtumia na magu? Si unacontact zake!