Kutokana na Umuhimu wa Mechi ya leo dhidi ya Horoya FC tafadhali Wachezaji hawa Waambiwe ukweli ili tusije Kulaumiana baadae

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
1. Golikipa Aishi Manula

Tusifiche na kuwa Wanafiki kwa Siku za karibuni amepoteza Uwezo wake na Kufungika si tu Kirahisi bali Kizembe mno.

Aambiwe awe Mkali awapo Golini hasa kwa Kuwapanga Mabeki wake ila na Yeye ajitahidi mno kupanga vyema Ukuta wake kukitokea Faulo eneo la Jirani.

2. Mabeki wa Pembeni Kapombe na Hussein

Ni Mabeki wazuri mno na wana Vipaji vya hali ya Juu ila kama wakikutana na Mawinga Viberenge na wenye Nguvu huwa na wakati mgumu sana.

Tafadhali waambiwe kuwa kutokana na leo Horoya FC wako Kwao na wanataka Kushinda ni lazima Watashambulia 99% hivyo na Wao wasipande sana na kwa leo wawe too defensive ili kutoleta Madhara.

3. Beki wa Kati Inonga

Nitakuwa ni Ngumbaru ( Mjinga ) nikikataa kuwa huyu siyo Beki mzuri na Bora kwa Sasa nchini Tanzania.

Shida ya Inonga na ambayo Binafsi huwa ananikera kama si Kuniudhi ni tabia yake ya Kujiamini kupita Kiasi hali ambayo kuna muda huwa inamgharimu na hata Kutugharimu Simba SC yetu.

Beki Inonga aambiwe kuwa leo hatutaki Ufaza ( Ubishoo ) wake bali tunataka Kazi Kazi hivyo awe anagusa na kuachia mara moja na akumbuke kuwa Horoya FC siyo Ihefu FC au Coastal Union FC za NBC Premier League yetu hapa Tanzania.

4. Winga Sakho

Akiacha Umachachari wake unaotokana na Utoto mwingi ni Bonge la Mchezaji na Mfungaji mahiri.

Leo nae aambiwe Ukweli kuwa Simba SC yetu inataka zaidi Matokeo na si Mbwembwe zake na Umachachari wake hivyo acheze Kitimu na aache Ubinafsi ( Uchoyo ) ambao Kiasili anaumiliki.

5. Kiungo Mchezeshaji Chama

Ana kila Kitu ila katika Mchezo wa Leo dhidi ya Horoya FC tafadhali aambiwe aongeze Kasi ( Speed ) yake na ajitahidi kuwa anasaidia katika Kukaba ili Kuziba njia na Kuwapunguzia Majukumu Wachezaji wenzake.

6. Mshambuliaji Baleke

Kwa muda mfupi tu aliocheza Simba SC yetu ameshatuonyesha kuwa Yeye ni Mshambuliaji mahiri na ana Kipaji hivyo hata Uongozi wa Simba SC haukukosea Kumsajili kwa Mkopo kutoka huko alikokuwa Kwao DRC.

Hata hivyo Baleke ajitahidi mno kuongeza Umakini leo kwani pamoja na kujua Kwake Kufunga Magoli magumu magumu ila kuna muda anajisahau na Kushindwa Kufunga Magoli mepesi mpaka tunaomuamini tunamshangaa.

Yote kwa yote naitakia Mchezo Mwema Leo Simba SC dhidi ya Horoya FC na Mashabiki pia tusiwe na Matokeo yetu bali tuheshimu kila Matokeo ambayo tutayapata.

Inshaallah na Amen.
 
Sawa boss.
 
Natamani Bocco aanze badala ya Baleke, na tutumie sana mashuti vijamaa vya Horoya ni hatari sana
 
Taja makosa matano ya Inonga yaliyoigharimu timu kisa kujiamini

Je , unataka asijiamini ? Je kujiamini ni kosa kwa mchezaji?
 
1. Golikipa Aishi Manula

Tusifiche na kuwa Wanafiki kwa Siku za karibuni amepoteza Uwezo wake na Kufungika si tu Kirahisi bali Kizembe mno.

Aambiwe awe Mkali awapo Golini hasa kwa Kuwapanga Mabeki wake ila na Yeye ajitahidi mno kupanga vyema Ukuta wake kukitokea Faulo eneo la Jirani.

2. Mabeki wa Pembeni Kapombe na Hussein

Ni Mabeki wazuri mno na wana Vipaji vya hali ya Juu ila kama wakikutana na Mawinga Viberenge na wenye Nguvu huwa na wakati mgumu sana.

Tafadhali waambiwe kuwa kutokana na leo Horoya FC wako Kwao na wanataka Kushinda ni lazima Watashambulia 99% hivyo na Wao wasipande sana na kwa leo wawe too defensive ili kutoleta Madhara.

3. Beki wa Kati Inonga

Nitakuwa ni Ngumbaru ( Mjinga ) nikikataa kuwa huyu siyo Beki mzuri na Bora kwa Sasa nchini Tanzania.

Shida ya Inonga na ambayo Binafsi huwa ananikera kama si Kuniudhi ni tabia yake ya Kujiamini kupita Kiasi hali ambayo kuna muda huwa inamgharimu na hata Kutugharimu Simba SC yetu.

Beki Inonga aambiwe kuwa leo hatutaki Ufaza ( Ubishoo ) wake bali tunataka Kazi Kazi hivyo awe anagusa na kuachia mara moja na akumbuke kuwa Horoya FC siyo Ihefu FC au Coastal Union FC za NBC Premier League yetu hapa Tanzania.

4. Winga Sakho

Akiacha Umachachari wake unaotokana na Utoto mwingi ni Bonge la Mchezaji na Mfungaji mahiri.

Leo nae aambiwe Ukweli kuwa Simba SC yetu inataka zaidi Matokeo na si Mbwembwe zake na Umachachari wake hivyo acheze Kitimu na aache Ubinafsi ( Uchoyo ) ambao Kiasili anaumiliki.

5. Kiungo Mchezeshaji Chama

Ana kila Kitu ila katika Mchezo wa Leo dhidi ya Horoya FC tafadhali aambiwe aongeze Kasi ( Speed ) yake na ajitahidi kuwa anasaidia katika Kukaba ili Kuziba njia na Kuwapunguzia Majukumu Wachezaji wenzake.

6. Mshambuliaji Baleke

Kwa muda mfupi tu aliocheza Simba SC yetu ameshatuonyesha kuwa Yeye ni Mshambuliaji mahiri na ana Kipaji hivyo hata Uongozi wa Simba SC haukukosea Kumsajili kwa Mkopo kutoka huko alikokuwa Kwao DRC.

Hata hivyo Baleke ajitahidi mno kuongeza Umakini leo kwani pamoja na kujua Kwake Kufunga Magoli magumu magumu ila kuna muda anajisahau na Kushindwa Kufunga Magoli mepesi mpaka tunaomuamini tunamshangaa.

Yote kwa yote naitakia Mchezo Mwema Leo Simba SC dhidi ya Horoya FC na Mashabiki pia tusiwe na Matokeo yetu bali tuheshimu kila Matokeo ambayo tutayapata.

Inshaallah na Amen.
Simba hata ikabe vipi, ipange wachezaji wote inaowaamini lakini mwisho wa mchezo watakuwa wameishapigwa mkono.
Wawaulize wenzao vipers kilichowakuta kwa Raja
 
Kipindi cha kwanza tucheze mpira wa taratibu kuwasoma Horoya. Israel Mwenda aanze badala ya Zimbwe. Kibu au Kyombo aanze badala ya Phiri. Second half tuongeze speed na Phiri aingie kuleta nguvu mpya na kupata magoli ya kushtukiza. Bocco aingie tukiwa tumejihakikishia ushindi au asicheze.

Inakuwaje tunakuwa na captain hana uhakika wa namba. Kwa nini wasimpe ucaptain Kapombe au hata Onyango?
 
Kwanini kapombe au onyango na sio zimbwe?
 
Umeona nimeshauri aanze Mwenda nafasi ya Zimbwe. Timu ambazo zimeisoma Simba zinajua upande wa Zimbwe ndiyo huwa na madhaifu. SBS kipindi cha kwanza chote walikuwa wanashambulia kupitia upande ule.
Me nafikiri ile hali ya zimbwe ku-push mashambulizi ndo huwa inasababisha matatizo sababu mtu anayetakiwa ku cover nafasi yake huwa hafanyi kama inavyotakiwa thats why.
 
1. Golikipa Aishi Manula

Tusifiche na kuwa Wanafiki kwa Siku za karibuni amepoteza Uwezo wake na Kufungika si tu Kirahisi bali Kizembe mno.

Aambiwe awe Mkali awapo Golini hasa kwa Kuwapanga Mabeki wake ila na Yeye ajitahidi mno kupanga vyema Ukuta wake kukitokea Faulo eneo la Jirani.

2. Mabeki wa Pembeni Kapombe na Hussein

Ni Mabeki wazuri mno na wana Vipaji vya hali ya Juu ila kama wakikutana na Mawinga Viberenge na wenye Nguvu huwa na wakati mgumu sana.

Tafadhali waambiwe kuwa kutokana na leo Horoya FC wako Kwao na wanataka Kushinda ni lazima Watashambulia 99% hivyo na Wao wasipande sana na kwa leo wawe too defensive ili kutoleta Madhara.

3. Beki wa Kati Inonga

Nitakuwa ni Ngumbaru ( Mjinga ) nikikataa kuwa huyu siyo Beki mzuri na Bora kwa Sasa nchini Tanzania.

Shida ya Inonga na ambayo Binafsi huwa ananikera kama si Kuniudhi ni tabia yake ya Kujiamini kupita Kiasi hali ambayo kuna muda huwa inamgharimu na hata Kutugharimu Simba SC yetu.

Beki Inonga aambiwe kuwa leo hatutaki Ufaza ( Ubishoo ) wake bali tunataka Kazi Kazi hivyo awe anagusa na kuachia mara moja na akumbuke kuwa Horoya FC siyo Ihefu FC au Coastal Union FC za NBC Premier League yetu hapa Tanzania.

4. Winga Sakho

Akiacha Umachachari wake unaotokana na Utoto mwingi ni Bonge la Mchezaji na Mfungaji mahiri.

Leo nae aambiwe Ukweli kuwa Simba SC yetu inataka zaidi Matokeo na si Mbwembwe zake na Umachachari wake hivyo acheze Kitimu na aache Ubinafsi ( Uchoyo ) ambao Kiasili anaumiliki.

5. Kiungo Mchezeshaji Chama

Ana kila Kitu ila katika Mchezo wa Leo dhidi ya Horoya FC tafadhali aambiwe aongeze Kasi ( Speed ) yake na ajitahidi kuwa anasaidia katika Kukaba ili Kuziba njia na Kuwapunguzia Majukumu Wachezaji wenzake.

6. Mshambuliaji Baleke

Kwa muda mfupi tu aliocheza Simba SC yetu ameshatuonyesha kuwa Yeye ni Mshambuliaji mahiri na ana Kipaji hivyo hata Uongozi wa Simba SC haukukosea Kumsajili kwa Mkopo kutoka huko alikokuwa Kwao DRC.

Hata hivyo Baleke ajitahidi mno kuongeza Umakini leo kwani pamoja na kujua Kwake Kufunga Magoli magumu magumu ila kuna muda anajisahau na Kushindwa Kufunga Magoli mepesi mpaka tunaomuamini tunamshangaa.

Yote kwa yote naitakia Mchezo Mwema Leo Simba SC dhidi ya Horoya FC na Mashabiki pia tusiwe na Matokeo yetu bali tuheshimu kila Matokeo ambayo tutayapata.

Inshaallah na Amen.
Umezungumzia timu yote mkuu... Sidhani kama simba atafungwa lakini kuna weakness za beki kufanya upuuzi.. hivyo wawe makini...
Kila lakheri Simba
By Mwananchi Yanga Damu
 
Back
Top Bottom