Tuipinge DP world na Tuipinge serikali haitufai kutuongoza, wanatuletea utoto wa kishamba.

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,043
Wapingwe kwa nguvu zote,
Mikataba hii ni wajinga tu ndio wataikubali lakini watu weledi hawawezi kuikubali mikataba ya namna hiyo kamwe,
Kwa nguvu zote hoja tulishamaliza kutoa tena hoja za msingi kabisa,
Sasa ni muda wa kusimama na kuipinga serikali kwa ujumla wake.
Serikali hii imeshindwa kutuongoza kwa weledi hawafai kukalia nafasi za uongozi hata kwa sekunde moja,
Wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote.
Msikae kimya hawa hawana lengo zuri na nchi wanatamani kutuumiza sisi na kuumiza vizazi vijavyo,
TUWAPINGE KWA NGUVU ZOTE MAANA WAMESHINDWA KUTUONGOZA WALA TUSIWACHEKEE TENA HATA KWA DAKIKA MOJA.
 
Try to be specific, shida ni nini kwenye makubalino?

Ili kizuia madhara zaidi, kuna haja ya kubadili katiba hasa kwenye mambo ya mamla na watawala,

1. Tuseparate mihimili isiweze kuingiliana

2. Then wanaozingua wawe wanashitakiwa hata kama ni Rais
 
Ulichokiona wewe inawezekana nisiwe nimekiona.
Mkuu, hana majibu huyo. Ye amejikuta anaunga tu mkono kwa vile kina 'fulani wamesema. Siajabu hakijui hata kimoja. Ni sawa na lile kundi la kudai katiba mpya, wengi ukuwauliza ni kipengele gn chenye tatizo wanabaki kukuangalia kwa hasira na kumwaga matusi!
 
Wapingwe kwa nguvu zote,
Mikataba hii ni wajinga tu ndio wataikubali lakini watu weledi hawawezi kuikubali mikataba ya namna hiyo kamwe,
Kwa nguvu zote hoja tulishamaliza kutoa tena hoja za msingi kabisa,
Sasa ni muda wa kusimama na kuipinga serikali kwa ujumla wake.
Serikali hii imeshindwa kutuongoza kwa weledi hawafai kukalia nafasi za uongozi hata kwa sekunde moja,
Wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote.
Msikae kimya hawa hawana lengo zuri na nchi wanatamani kutuumiza sisi na kuumiza vizazi vijavyo,
TUWAPINGE KWA NGUVU ZOTE MAANA WAMESHINDWA KUTUONGOZA WALA TUSIWACHEKEE TENA HATA KWA DAKIKA MOJA.
Wanao nufaika kwa uwepo wa bandari pingeni.

Kwa jinsi maisha yalivyo sina sababu ya kupinga. Maisha hayana nafuu yoyote na bandari yenu ipo.

Wanangu, ndugu, majirani wanaishi kwa shida hata kumudu kununua debe la mahindi, maharage, kilo ya mchele achilia mbali kilo ya nyama ni mtihani.

Hiyo bandari imesaidia nini. Tozo kila siku zinabuniwa ili tunyonywe tubaki mifupa mitupu. Bandari ipo, msada wake kwa mnyonge ni upi.

Bandari inanufaisha wachache kama ambavyo uongozi wa nchi hii ulivyo wa kifalme. Kama wewe upo katika aina ya maisha yangu usijiingize kushadadia huu upuuzi kaa pembeni tuuzwe huenda ikaja kuwa nafuu yetu sisi WADANGANYIKA.
 
Screenshot_20230623-220742_(1).png
 
Sasa kama unaambiwa italeta tija na maendeleo makubwa katika sekta ya usafirishaji na uchukuzi sisi ni nani hata tupinge? Wawakilishi wetu wabunge wamekubali huo mkataba wa DP World, waje tu tuone huo ufanisi
 
Suala la kuipinga Serikali halitakiwi kutokana na matakwa ya MTU binafsi
Hakuna mtu aliyepewa mamlaka ya kuwasemea wananchi wote ingawa wewe peke yako unayo haki ya kupinga,kuchukia kulingana na uwezo wako wa kufikiria na in vizuri ukajisemea mwenyewe na wazo lako litaheshimiwa.
 
Wapingwe kwa nguvu zote,
Mikataba hii ni wajinga tu ndio wataikubali lakini watu weledi hawawezi kuikubali mikataba ya namna hiyo kamwe,
Kwa nguvu zote hoja tulishamaliza kutoa tena hoja za msingi kabisa,
Sasa ni muda wa kusimama na kuipinga serikali kwa ujumla wake.
Serikali hii imeshindwa kutuongoza kwa weledi hawafai kukalia nafasi za uongozi hata kwa sekunde moja,
Wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote.
Msikae kimya hawa hawana lengo zuri na nchi wanatamani kutuumiza sisi na kuumiza vizazi vijavyo,
TUWAPINGE KWA NGUVU ZOTE MAANA WAMESHINDWA KUTUONGOZA WALA TUSIWACHEKEE TENA HATA KWA DAKIKA MOJA.
Umewahi kufika Bandarini wewe au umewahi kuagiza mzigo toka mabara mengine?

Au mnapinga kukodisha bandari kama kuiga mkumbo tu ?
 
Wapingwe kwa nguvu zote,
Mikataba hii ni wajinga tu ndio wataikubali lakini watu weledi hawawezi kuikubali mikataba ya namna hiyo kamwe,
Kwa nguvu zote hoja tulishamaliza kutoa tena hoja za msingi kabisa,
Sasa ni muda wa kusimama na kuipinga serikali kwa ujumla wake.
Serikali hii imeshindwa kutuongoza kwa weledi hawafai kukalia nafasi za uongozi hata kwa sekunde moja,
Wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote.
Msikae kimya hawa hawana lengo zuri na nchi wanatamani kutuumiza sisi na kuumiza vizazi vijavyo,
TUWAPINGE KWA NGUVU ZOTE MAANA WAMESHINDWA KUTUONGOZA WALA TUSIWACHEKEE TENA HATA KWA DAKIKA MOJA.
Huna unachokijua wewe fukara!
 
Back
Top Bottom