Kama mnavyoelewa kesho ndo kumbukumbu ya kuzama kwa MV.Bukoba naamini bado tuna maswali mengi ya kujiuliza ambayo hayajapatiwa majibu.bado tunawapa pole wale wote waliofariki,kupotelewa na ndugu pamoja na manusura,ni matumaini yetu kwamba ipo siku machozi yao yatapata majibu.