Tuhuma nzito za Mange zisizo na ushahidi dhidi ya Rais, anafanya sawa?

Status
Not open for further replies.
Aman iwe kwenu.

Naombeni wanajamvi kwa yeyote anayemfahamu mtu huyo hapo juu anieleweshe kwa namna anavyomfahamu.

Nikishamjua,nitaeleza hapahapa ni kwa nn nimeamua kuhitaji kumfaham.

Ahsanteni!!!

Nenda Facebook, Instagram na katika Twitter accounts zake amejianika vizuri tu na nadhani huko unaweza kuyapata mengi ya kumjua kuliko kuja kutusumbua humu Watu ambao sasa tunawaza Pembe za Faru John, Dangote, Wamachinga na kwanini Shamrashamra za Sherehe ya Uhuru za jana hazikufanikiwa ( namaanisha kuwa na mvuto na kuchangamka ) kama ilivyo kawaida.
 
Aman iwe kwenu.

Naombeni wanajamvi kwa yeyote anayemfahamu mtu huyo hapo juu anieleweshe kwa namna anavyomfahamu.

Nikishamjua,nitaeleza hapahapa ni kwa nn nimeamua kuhitaji kumfaham.

Ahsanteni!!!
Kafanye shughuli zako, achana na masuala ya watu, umbea tu! Leave it for those affected by Mange to play the tune!
 
Kwani wahusika wamekanusha andiko lake? Kuna watu humu wanalibebea bango na mapovu yakiwatoka utadhani wanaishi na Magu na wanaujua ukweli
 
Then i pressume these could be the very serious allegations that have been presented by the lady Mange
 
Hiyo Mange Kimambi ana uwezo mdogo sana wa akili,MTU timamu hawezi kudhalilisha viongozi wa nchi.Anadhani kuishi ughaibuni anaweza kufanya upuuzi asishughulikiwe,nashauri watu wa usalama mdhibiti huyo mpumbavu mapema ili kuleta nidhamu.

Mtu timamu....

Kiongozi timamu....

HAWEZI KUUDHALILISHA UONGOZI na UTU WAKE KWA KUPIGA MKEWE!!

It's violence against women......ni kosa kisheria na ni sawa na kuua albino!!
 
Kama Paul Kagame aliweza kuingia Afrika Kusini na Kumshughulikia Jenerali Sejusa, sina shaka kuwa, Mange tutammaliza siku si Nyingi, wala haina tatizo kabisa, msiwe na wasiwasi, maoni yenu yote tumeyapitia.
Na wewe utakufa kwani wewe jiwe hata uone kutisha watu ndio maisha nimekuchukuia kweli
 
Eeeehh.. eeehh, so walibeba..? jamani, ebu tuwe wapole kidogo, haya mambo sometimes ya vijiweni tu, naumia moyo, habari za vijiweni ukweli wako mdogo sana.. sipingi moja kwa moja, ila nawaza sana uliyoandika hapa.. aiseeeView attachment 444619

Wewe Jay One mbona kama unaishi dunia ya malaika wewe?

Hivi wewe katika maisha ya kawaida ktk kona yeyote unayoishi ktk dunia hii hujawahi kuyaona haya ya ndoa za kibabe na ubabe wa mwanaume?

I have seen several in my life na siwezi kushangaa hata kiduchu kusikia mwanaume mwenzangu (mimi ni mwanaume) anamtendea mwanamke mkewe ya namna hii!!

Nilisema mwanzo na sasa naomba nirudie, uongozi ama social status ya mtu haina uhusiano wowote na hulka na tabia za kibinadamu za mtu yeyote!!

Anabaki kuwa kiongozi wetu na tumheshimu kwa hilo, lakini ubinadamu wake uko palepale.....anakula anapomuwa na njaa, atakwenda chooni, atakasirika inapobidi, atafurahi na kucheka na kuna wakati atawaza jehanamu na paradiso pia....!!

He's a human being, nothing gona change that!!

Back to your questions;

Walibeba au hawakubeba huo mchanga, tunaweza kujibiwa vyema na mkewe.......lakini tambua kuwa hii kitu imesemwa, inasemwa na itasemwa!!
 
Am losing grounds to defend my President..!!

Am in coma..!! wait..!!
 
Why now!!?

Yes, it's now because everything has its own time to happen!!

And, the simple answer for your question "why now" once more, is.....

The boss "is in all radars" from every angle of his private life, present....the future....and mostly the past...!!

Because through the past, we can predict the present and the future!!

So in short, mama yetu anaonewa kwa kiwango hiki..?

Am unhappy..!! eehh
 
Binafsi naona mpishano wa uelewa hapa. Mange kamsema nani kafanya nini na syo taasisi mnayoitetea imefanya nini kwa mtu binafsi.
Mtajwa ni baba na mme wa mtu lakini taasisi haina mke wala watoto. Hivyo mtuhumu amemtuhumu MTU na siyo taasisi. Tusichanganyane hapa na kama aliyetuhumiwa yanamgusa kuna sehemu ya kulalamikia. Na hili ndilo linaloifanya taasisi ikose pa kuanzia kwani yenyewe haijaguswa popote.
Ninyi mnaokimbilia kuvishirikisha vyombo vya dola kwa jambo la MTU binafsi mnakosea.
 
mkuu huwezi ukahoji au kuhukumu usiyoyajua mi huwa najiuliza hizi habari nyet anaziota kwa nani au anatunga ?na pia ukisoma habari zake nyingi ni za kutumiwa na close ppl zinazo wahusu so bora tukae pemben tuwatch movie.Pili kupigwa hadi kuzimia ni kitendo cha kumpiga mtu sehemu sensitive na si lazima awe na alama na sensitive place ni ngumu kuona alama kama wewe humuhudumii mgonjwa.
Yaani hiyo tabia kaianza alipopata u rais? Hivi kweli unaweza kuamini huu ujinga wa mange? anaweza kudhani yupo salama kutukana watu akiwa Philly mwambie amuulize blogger wa Ze udaku alivyominywa. na wewe elewa huko US sekeseke la false news limeshaanza kuzungumzwa likitengenezewa sheria atakimbilia wapi
 
Anavyoishi maisha yake binafsi nadhani ni binafsi, iwe kweli isiwe kweli, concern yetu ni jinsi anavyo run nchi, sio familia yake
Kama mke amepigwa, akamtembelea hospitali wakaombana msamaha yakaisha, sio business yetu hiyo

let Magufulis handle it
ASSUMING ni kweli, do you or does the law condone domestic violence?

Hapo juu mleta post kasema Rais kama TAASISI anakashfiwa, lakini wewe unasema ni maisha binafsi...which is which? Are we supposed to separate his life and his duty? if so, kwa nini hizo kashfa za kinyumbani anazoibua huyo mwanamke tunaziunganisha na uRais wake na si yeye kama yeye?

Tafsiri hapa ni kwamba yeye na majukumu yake kama kiongozi wa nchi ni inseparable.

Mambo ya kujiuliza tu ni Je, ni kweli hizo kashfa?
Na kama ni kweli, what then?

Nafikiri tuendelee na maisha. Hayo yanayosemwa hata kama ni kweli sijui kama kuna kitakachoendelea. na huyo mwanamama anajua sababu ya kusema hayo asemayo.
 
Mkuu wewe ndiye umehukumu kabla ya kusoma. Hakuna hukumu imetolewa.

Mjadala hapa, ni sahihi Mange aliyoyasema dhidi ya rais bila kujalisha kama ni ukweli au uongo.

Jicho lako la 3D limeng'amua nini?
Assuming ni kweli, je watu hawatakiwi kusema?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom