Anonymous
Senior Member
- Feb 3, 2006
- 125
- 320
Wakuu,
Kumekuwa na habari inayo-trend mitandaoni kuhusu Rais wa Jamhuri ya Tanzania, John Magufuli ikizingumzia kwa ujumla kwamba ni kiongozi katili.
Nikimnukuu mtumiaji maarufu wa Mtandao wa Instagram haswa anayejulikana kwa jila la Mange Kimambi, amesema:-
Aidha, Mange ameenda mbali zaidi na kudai kwamba yule binti wa Rais Magufuli aliyefariki alikufa baada ya kunywa sumu yote sababu ikiwa ni baba yake, kwa maneno mengine kwamba "aliuawa na baba yake".
VIDEO: Taarifa ya Kifo na mazishi ya marehemu Juliana J. Magufuli aliyefariki kwa ugonjwa wa Malaria
Mange katoka habari hizo kwa 'kujipongeza' kwamba hata Rais atampa saluti kwa ujasiri huu.
Wakuu, mna maoni gani juu ya hii habari?
Tukiacha suala la endapo hayo yaliyosemwa ni uzushi ama ukweli, mnalichukulia vipi suala la Rais kama taasisi kuzungumziwa hivyo tena na mwananchi wake?
Karibuni kwa mjadala..

Mnakumbuka Mama Magufuli alipolazwa ghafla Muhimbili hapo juzi kati?
Ni kwamba alishushiwa kipigo cha mwizi toka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka akapoteza fahamu sababu mtoto hakwenda shule.