Kingereza mimi ni lugha yangu ya kuzaliwa, sio wewe uliyejifunzia mzimuni primary manzese. Give me your Mobile number will text you on propose you may be you are looking for a man who knows
What are you moaning about you idiot we have got important issues to discuss not Majungu,who told you that am a msomi anyway? She have won, she is now a miss Tanzania you can't change the result by making noise here. Shame on you wivu utakumaliza what are you yoaning about?
Am a native speaker I don't real care about grammar like you Tanzania
Mtoto ni baraka toka kwa Mungu, so don't even go there.
Back off!!!!
Am a native speaker I don't real care about grammar like you Tanzania
Hebu tangaza kama una manufaa na umiss Tanzania.
Kisa umiss ndio unatoa shutuma nzito kwa mbunge kiasi hicho una ushahidi?
Kwani foundation huwa zinatangazwa na ma miss TZ tu?
Na mtoto akifoji au kufanya kosa lolote ni lazima baba yake awe anahusika? Mzee mzima kama mzee mtemvu ndio ahangaikie kufoji umri na kuhonga kwenye u miss!!!
Majungu mengine yanakera hata kusoma,
Bi Mkubwa anachoma utambi siyo; atakuwa hatumpatii mafuba yaliyotokana na shughuli hii - ohooo!!
wewe mwanamke una wivu wa nini ??
duh kazi kweli mama mtoto anaharibu mchakato wa pesa loh............ kudanganya umri ni shida kubwa sana
Am a native speaker I don't real care about grammar like you Tanzania
What are you moaning about you idiot we have got important issues to discuss not Majungu,who told you that am a msomi anyway? She have won, she is now a miss Tanzania you can't change the result by making noise here. Shame on you wivu utakumaliza what are you yoaning about?
Rubbish!
This is a blog, and a forum for informed people. Kama hukusoma unatafuta nini hapa? Are we here to synthesize your rubbish? Do you expect a JF member to manufacture useful ideas from your nonsense nuisence!
Get out of this forum. Nenda kule wanakojadili ngono. Ukisha kuwa fit ki-elimu rudi.
Haya ni mambo ya Hashimu Lundenga na Miss WorldLa kujiuliza hayo mambo yakienda mahakamani huyo mama atasimama kuthibitisha umri wa mwanae?