Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

Turudi kwa januarymakamba ni kweli umri wake umetimu kugombea uraisi? kwasababu ukoo wa panya baba....,mtoto....
 
Last edited by a moderator:
Hata awe smart kama Dick, kwa miaka 18 hawezi kuwa na Master ya Marekani. Labda zile za ovyo Mzumbe na UDOM
 
Kwani huyo mtoto alizaliwa chooni, na hakuna aliyemuona? Tutaomba Judge to subpoena her medical record
 
Avuliwe umiss huyu. Twende mahakamani. Passport inaonyesha amezaliwa may 31 1989. Lakini bado mama mzazi anaonyesha ana miaka 29. Ina maana hata huko Immigration pia alidanganya.
 
Majungu matupu, heri yeye anayetangaza NGO yake ili ipate pesa iwasaidie watoto yatima Tanzanian. Mbona hamuongelei mafisadi na wahujumu walichota pesa bank kuu? Go Mtenvu go if it was an role elections I could have voted for you. We need people like you who can scarifying their life and resources for poor Tanzanian. Mlioshindwa acheni mjungu. Hamna sifa za kupeperusha bendera ya Tanzania. Umasikini wenu umewakosesha si mngehonga na nyie?
 
Majungu matupu, heri yeye anayetangaza NGO yake ili ipate pesa iwasaidie watoto yatima Tanzanian. Mbona hamuongelei mafisadi na wahujumu walichota pesa bank kuu? Go Mtenvu go if it was an role elections I could have voted for you. We need people like you who can scarifying their life and resources for poor Tanzanian. Mlioshindwa acheni mjungu. Hamna sifa za kupeperusha bendera ya Tanzania. Umasikini wenu umewakosesha si mngehonga na nyie?

Yaani akili yako ndio imefikia kikomo cha kufikiri?Inzi na nyumbu wamekuzidi akili,Na wewe ni msomi wa kitanzania!Kwa kifupi fani yako ni kwenda kucheza Kanga Moko-SMDH
 
What are you moaning about you idiot we have got important issues to discuss not Majungu,who told you that am a msomi anyway? She have won, she is now a miss Tanzania you can't change the result by making noise here. Shame on you wivu utakumaliza what are you yoaning about?
 
What are you moaning about you idiot we have got important issues to discuss not Majungu,who told you that am a msomi anyway? She have won, she is now a miss Tanzania you can't change the result by making noise here. Shame on you wivu utakumaliza what are you yoaning about?

ha ha ha unajitahidi kiingereza!nenda kanga moko unachelewa
 
Kama alifoji na amegundilika basi awe muungwana aachie wanaostahili.Kawanyima riziki wanyonge wasioweza jitetea
 
Kingereza mimi ni lugha yangu ya kuzaliwa, sio wewe uliyejifunzia mzimuni primary manzese. Give me your Mobile number will text you on propose you may be you are looking for a man who knows
 
Huyu ni miss bibibomba wa tmk, nilivyoona kinguo alichovaa tu, nikaona alivyokomaa ngoko nikajua akika alikuwa kijeba, ndio kawaida ya maccm kudanganya umri, usijeshangaa kwenye urais lws na pnd wakadai wana 45
 
Abbas Mtemvu ambaye ni mbunge wa Temeke kwa tiketi ya CCM anadaiwa kutumia mbinu chafu ili binti yake aitwaye Sitti Abbas aweze kuipatia umaarufu taasisi yake ijulikanayo kama 'Mtemvu foundation' yenye ofisi zake kuu maeneo ya Mbezi beach Dar es Salaam, taarifa mbalimbali zimebainisha.

Abbas Mtemvu amedaiwa kuchukua fedha za mfuko wa jimbo la Temeke takribani shilingi milioni 65 ambazo alidai ni za kuisaidia taasisi yake hiyo ya 'Mtemvu foundation' ambayo inajinasibu kama taasisi inayosaidia watoto wasiojiweza ili kuzihonga kamati za miss Chang'ombe mwaka 2014-15, miss Temeke mwaka 2014-15 na ile ya miss Tanzania mwaka 2014-15 kwa lengo la kumpitisha binti yake huyo ajulikanaye kama Sitti ambaye alikuwa akiishi Marekani ili kutwaa mataji hayo.

Aidha kamati zote zilisimamiwa na Hasheem Lundenga ambaye alitakiwa kuhakikisha binti huyo wa Mtemvu ananyakuwa mataji hayo.Hasheem Lundenga ndiye muasisi na mwenyekiti wa kamati inayoandaa na kuratibu shughuli zote za kumsaka miss Tanzania.

Binti huyo wa Abbas Mtemvu (Sitti Abbas) ambaye ana umri wa miaka 29, alizaliwa mnamo mwezi wa tano mwaka 1985 kama alivyothibitisha mama yake mzazi na hivyo moja kwa moja kukosa sifa za kushiriki mashindano hayo.

Hata hivyo hali hiyo imepewa msukumo na Abbas akitumia fedha ili binti yake huyo aitangaze taasisi yake hiyo ya Mtemvu foundation kimataifa huku akijua kuwa binti yake hakuwa na sifa za kushiriki mashindano hayo kutokana na kigezo cha umri ambapo inatakiwa mshiriki asizidi miaka 24.

Hata hivyo katika mashindano hayo binti huyo wa Mtemvu alidai kuwa ana umri wa miaka 18 na ana shahada ya uzamili (masters) jambo ambalo lilipingwa vikali na MAMA YAKE MZAZI ambaye alithibitisha kuwa mwanaye alidanganya umri kwa kupunguza takribani miaka 11.Sitti Abbas ndiye aliibuka mshindi wa mataji ya miss Chang'ombe, miss Temeke na miss Tanzania mwaka 2014-15 hivyo kutimiza ndoto za baba yake ambaye ni Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke kwa tiketi ya CCM za kuitangaza taasisi ya Mtemvu foundation katika ngazi ya kimataifa kama alivyotarajia.

Hebu tangaza kama una manufaa na umiss Tanzania.

Kisa umiss ndio unatoa shutuma nzito kwa mbunge kiasi hicho una ushahidi?

Kwani foundation huwa zinatangazwa na ma miss TZ tu?

Na mtoto akifoji au kufanya kosa lolote ni lazima baba yake awe anahusika? Mzee mzima kama mzee mtemvu ndio ahangaikie kufoji umri na kuhonga kwenye u miss!!!

Majungu mengine yanakera hata kusoma,
 
Back
Top Bottom