Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

Nakuunga mkono, majungu hayana tija. Huyu inaelekea alihonga hela ikaliwa na akakosa sasa anamshukia mwenzake. Mawaziri wamefoji vyeti wanajulikana na bado ni mawaziri. Kwanini kumshiki bango huyu miss?
 
Kingereza mimi ni lugha yangu ya kuzaliwa, sio wewe uliyejifunzia mzimuni primary manzese. Give me your Mobile number will text you on propose you may be you are looking for a man who knows


una undugu na mrs Tanzania wa 2014?
 
What are you moaning about you idiot we have got important issues to discuss not Majungu,who told you that am a msomi anyway? She have won, she is now a miss Tanzania you can't change the result by making noise here. Shame on you wivu utakumaliza what are you yoaning about?

Surely you are not a msomi otherwise you would not have written 'she HAVE won'. Instead you would have written 'she HAS won. Pathetic.
 
Mimi wala sio MTZ ila nina interest na Tanzania kwa maana niliwahi kuish hapo. Sijui hata anafanana je ila naangalia tu hali halisi ndugu yangu, tuwe wakweli
 
Turudi kwa januarymakamba ni kweli umri wake umetimu kugombea uraisi? kwasababu ukoo wa panya baba....,mtoto....

Huyo nae si wanadai aliiba mtihani secondary akafutiwa matokeo.. inaonekana hii tabia imekuwa sugu nchini kwetu... ukoo wa pimbi...
 
Mtoto ni baraka toka kwa Mungu, so don't even go there.
Back off!!!!

Mtoto ni Baraka Halina ubishi lakini mashindano yanataka ambao hawajawahi kuzaa hata Mimba hawajawahi kubeba.....maana wanahitajika wasichana sio Kina mama..HAPA KABANA FURSA ..

mashindano ya mama bomba na Bibi bomba yapo ..
 
Tumesikia sakata la mtoto wa Abbasi Mtemvu na forgeries zake za umri katika kuutwaa Umiss Tanzania 2014/15.
Na kwa kweli kwa juhufi mahsusi za baba yakr Sitti, ambaye ni Mbunge wa Temeke, Abbasi Mtemvu, Sitti alikwisha ukwaa umiss, kwa mwaka huu 2014/15.

Wengi wetu tukifikiri kuibuliwa kashfa hii ni ghilba wivu na kijicho, kumbe nyuma yake kuna tatizo kubwa sana linalo husisha hata vyombo vya dola katika kughushi hati nyeti za kitaifa.

Sitti alighushi hati hizo kwa encouragement ya baba yake mzazi, Abbasi Mtemvu.
Nia na madhumuni ya forgeries hizo inasemekana ni donge nono ambalo Abbasi alikuwa analiwinda kupitia taasisi yake mahsusi ya Mtemvu Foundation.

Kughushi hati nyeti sasa hivi ni tatizo la kitaifa, na wadau tunategemea suala hili lishughulikiwe na vyombo vya dola kama TAKUKURU na hata vinavyohusika na kutoa hati hizo ghushi kama RITA na Uhamiaji.

Kwa mtu muungwana tutategemea Abbasi Mtemvu kujiuzulu nafasi zote alizoaminiwa na wananchi ili kulinda heshima ya nchi hii na vyombo vyake.
 
Please please masopakyindi...tafadhali sana masopakyindi, wanafiki kama wewe kwa kweli sasa mnatuboa. Wewe ni nani hadi umtake Mh. Abbas Mtemvu, Mbunge wa Temeke kupitia CCM, mkazi wa Mbezi Kinondoni, mtoto wa Kiongozi Mkuu wa chama hasimu kwa TANU enzi za kupigania uhuru ANC, ex-Mbunge wa Temeke kupitia chama cha NCCR Mageuzi..eti ajiuzulu! Kwa kosa gani? Eti tuhuma ya kufoji nyaraka ili binti yake Sitti, mama mzima anayedaiwa kuwa na mtoto wa miaka saba aweze kuutwaa U-Miss Tanzania 2014, are you serious? Kati ya matendo yoote ya kifisadi yalioliandama taifa unayoshinda humu JF ukiyatetea, hili la kuvikwa taji mama wa mjukuu wa Mh. Abbas Mtemvu ndilo limekuuma kiasi hicho! Hapana mdogo wangu, acha masikhara.
 
Last edited by a moderator:
Hebu tangaza kama una manufaa na umiss Tanzania.

Kisa umiss ndio unatoa shutuma nzito kwa mbunge kiasi hicho una ushahidi?

Kwani foundation huwa zinatangazwa na ma miss TZ tu?

Na mtoto akifoji au kufanya kosa lolote ni lazima baba yake awe anahusika? Mzee mzima kama mzee mtemvu ndio ahangaikie kufoji umri na kuhonga kwenye u miss!!!

Majungu mengine yanakera hata kusoma,

Sasa kama walifoji kura kwenye bmk watashindwa kufoji umiss,mwizi ni mwizi tu hata aibe sh 50 ni mwizi tu.
 
Bi Mkubwa anachoma utambi siyo; atakuwa hatumpatii mafuba yaliyotokana na shughuli hii - ohooo!!

wewe mwanamke una wivu wa nini ??

duh kazi kweli mama mtoto anaharibu mchakato wa pesa loh............ kudanganya umri ni shida kubwa sana

Tusimulaumu mama. Yawezekana hataki kabisa binti yake kujihusisha na mambo ya aina hiyo kumbuka Mtemvu na familia yake wanatakiwa kuwa na maadili ya kiislamu.

Lakini pia, wazee wa aina ya Mtemvu, wanaosukuma mabinti zao kwa mtindo huo, sitaona ajabu baadaye kuambiwa anamugeukia binti yake kama mke! Njama za aina hiyo na binti yako wapi na wapi? Lundenga mwenyewe nasikia ndo zake, kwani Mtemvu hajui yanayotokea huko?
 
What are you moaning about you idiot we have got important issues to discuss not Majungu,who told you that am a msomi anyway? She have won, she is now a miss Tanzania you can't change the result by making noise here. Shame on you wivu utakumaliza what are you yoaning about?

Rubbish!
This is a blog, and a forum for informed people. Kama hukusoma unatafuta nini hapa? Are we here to synthesize your rubbish? Do you expect a JF member to manufacture useful ideas from your nonsense nuisence!

Get out of this forum. Nenda kule wanakojadili ngono. Ukisha kuwa fit ki-elimu rudi.
 
Mshindi wa pili kwenye kinyanganyiro hicho aanze kutroti, maana nafasi ya kwanza inaweza kufutwa!
 
Ila sura uwa haidanganyi, mm naona kama ana 29 anakaribia 30 yrs, labda kama alikuwa anaishi maisha ya tabu!!!?
 
Rubbish!
This is a blog, and a forum for informed people. Kama hukusoma unatafuta nini hapa? Are we here to synthesize your rubbish? Do you expect a JF member to manufacture useful ideas from your nonsense nuisence!

Get out of this forum. Nenda kule wanakojadili ngono. Ukisha kuwa fit ki-elimu rudi.

he gt the message as s nigga naona povu lilikuwa linamtoka kama kalamba omo then an act ooh m not from Tanzania m just interested in tz. dude if u ain't from tz then whats ur problem why dont u concentrate on where u come from
YA NGOSWE MWACHIE NGOSWE
 
La kujiuliza hayo mambo yakienda mahakamani huyo mama atasimama kuthibitisha umri wa mwanae?
Haya ni mambo ya Hashimu Lundenga na Miss World
sasa mahakamani mnataka mkaeleze ni nini ?
Mahakama za Tanzania na Mashindano ya ulimwengu kuwa Umri ni bi kizee sasa aende mwingine hapo sielewi
alianza Patel kumalalamikia Lundenga sasa wengine wanafuata
p/se mtufafanulie hizo pesa akipata zinamuuma ni nini huyo mama na sisi ACHENI WIVU jamani
 
Back
Top Bottom