Yanga wamefanya kipi ambacho Simba hawajafanya?Mm naona ya Ligikuu tuyaweke pembeni.
Unadhani ipi sababu hata tusiweze kusonga mbele zaidi ya hatua ya robo fainali kila mara tunapo shiriki michuano ya CAF..?
YANGA wametushinda nini ambacho sisi hatuna?
Nini kifanyike?
Wekeza kwenye timu yako kama fedha unayo.