Tuelezane; Mwaka 2024 una malengo gani umepanga kutimiza

Deleted01

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
1,411
3,458
Well, Hopefully kila mtu yuko sawa.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, funguka malengo yako uliyopanga kutimiza mwakani ili upate kujua wenzako wana maoni na ushauri gani kukuwezesha kufanikisha swala lako.

Kumbuka, wanaotaka kwenda mbali wanakwenda pamoja.
 
Malengo makubwa nikuishi na kuwa hai

Pia MTU makini hawezi kutoa code zake hapa jukwaani ila mwaka unapogeuka huwa tunapeana hints au dokezo /vidokezo kuhusu mambo ya kuzingatia ili kuyapa maisha yako maana na kuongeza thamani katika Maisha ya WATU wengine.


Life haijalishi ur the rich or poor is too complicated all you need is to maintain ur Life balance between you and i
 
Utafiti unaonyesha mtu anayeandika malengo yake hovyo na kuyasemasema kwa kila mtu anajipunguzia uwezo wa kuyatekeleza.
Mimi kwangu ni kinyume,nikishamwambia mtu kwamba ninataka kufanya kitu fulani,ndo ninafanya.Kuna nguvu ktk kutamka.Kuna ndugu nilikuwa nawaambia,nataka nifanye 1,2,kabla mwaka haujaisha.Tena alinihoji utawezaje maana kuna ada za watoto nk.Huwezi amini malengo yangu yametimia.Glory to God!
 
Ya kwanza yakifeli basi malengo yangu mengine ni kukimbia, niende mbali na waonifahamu na mawasiliano nao nikate nianze moja naamini huko nitatoboa.
 
Nitafungua kanisa uchwara baadae sana nitatrend Tanzania nzima kwa mambo ya kijinga. Habari zangu zitahusu kukutana na malaika na mambo mengi ya kusadikika, nitagawa pesa kanisani na magari na pikipiki kwa baadhi ya waumini
 
Kama mnavyojua, zimebaki siku kadhaa tuanze mwaka mpya yaan Mwaka wa 2024.


Na tayari watu wameshajiwekea malengo makuu na madogo ya kukimbiza nayo 2024.

Tuambia malengo yako ni nini 2024?.

Binafsi sina nilichopanga, nasubiri tu mwaka utakavyonipeleka.

Mwaka huu mwishoni tu nimejifunza kutotumia pesa vibaya kwa kigezo nasaidia watu, nimefel sana kutaka kujali watu. watu hawana uchungu na pesa yako. nataka nijiimarishe kwanza mwenyewe. hayo ndo malengo mwakubwa naenda nayo Mwaka 2024.
 
Back
Top Bottom