TUCTA inafadhiliwa na Denmark.....!!

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
katika hotuba ya utambulisho katibu wa shirikisho la wafanyakazi tanzania(TUCTA) ndg nicolous mgaya amesikika akitambua uwepo wa balozi wa denmark na akatambulisha kuwa denmark ni wafadhili wa shirikisho hilo.
hivi michango ya wafanyakazi inakwenda wapi na inafanya nini mpaka tuhitaji ufadhili?
 
Nchi za Ulaya,ikiwemo Denmark, zimebadili strategy ya ufadhili..sasa hazijengi bara bara tena kama ilivyokuwa zamani,badala yake ,zinachangia kupitia mfumo wa Genaral Bugdet,then nchi husika zinaamua maeneo gani yapewe kipaumbele.Ili kuwezesha matumizi bora ya pesa za walipa kodi wa nchi zao,kwa muda sasa,wamekuwa wakijenga uwezo wa locals kufuatilia na kuidhibiti serikali katika matumizi yake..
Sasa donors wanaweka mkazo zaidi katika 'Advocacy'..bila shaka TUCTA ipo hasa kwa ajili hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom