JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,018
Kama suluhisho la matatizo yeti ni kutoka nje kwa nini basi tusiende hadi mwisho wa hoja? Sijui watatoka nchi gani!
Mzee Mwanakijiji,
..nimeshtuka huenda umetutega kwa kitendawili hapa.
..hivi Hussein Mwinyi kuongoza wizara ya Tanganyika si sawa na kuteua waziri toka nje ya nchi??
..ingependeza kama ungeweka angalizo kwamba "nje ya nchi" unaaanisha nje ya mipaka ya Tanganyika na Zanzibar.