Tuagize rais na mawaziri kutoka nje ya nchi?

Haya ni matatizo ya ushabiki usio na tija.
N a ubinafsi usio namaana , waliotoa wazo la kuagiza madr nje hawana nia nzuri na Rais wao na pia hawana nia nzuri na wa TZ, vidola vichache tulivyo navyo badala ya kuagiza madawa na machine za hospiatal tunaanza kuzirudisha huko huko.

Taifa langu changa lenye miaka 50 tu na viongozi wa changa wa maamuzi
 
Aliyetuloga katuloga vibaya!

MMJ

I concurr with your proposal, tuanzie na kuagiza Rais pamoja na Waziri Mkuu, tupatiwe na governor wa Benki Kuu kutoka USA, na kwa kuwa Watz bei zinapangwa kwa Dola za Kimarekani basi tuikatae Shilling kama legal tender tutumie Dola yaani we acha tu huna haja ya kuumwa na kichwa kubadilisha fedha, mambo mdundo!
 
naona sasa haya yamekuwa ni mashindano. Badala ya kusolve tatizo wanatumia fedha nyingi kuleta madaktari ili waonekane hawatishiwi. Too sad.......

Kesi ya Mpare kwenda kuuza Ng'ombe ili ashinde kesi ya Mbuzi wake?...Hivi na Manesi, Mafundi maabara, X-ray, wafuaji nguo, etc nao watatoka majuu?
 
Kama suluhisho la matatizo yeti ni kutoka nje kwa nini basi tusiende hadi mwisho wa hoja? Sijui watatoka nchi gani!

hahaaaaaa!!!!!!! Na wabunge wangegoma wanaagizwa nje ya nchi.
Mahabusu wakigoma, wanaagiza nje ya nchi kesi inaendelea.
 
..tumeshawahi kuwa na Mawaziri, Jaji Mkuu,DPP, toka nje.

..majuzi, wakati wa awamu ya Raisi Mkapa, CEO wa Tanroads alikuwa raia wa Ghana.
 
Naikumbuka ile hadithi yako Mwanakijiji ya Clowns' Paradise! Viongozi wote ni clowns, tunaumia, lakini wao wako mchezoni!

Sijui lini kutakuwa na mkutano wa wazee wa Dar kutuelimisha juu ya maendeleo haya mapya? Kweli mkataa chake mtumwa!
 
bora nchi iuzwe kila mtu apewe chake
.
Mkuu kakini Iuzwe mara ngapi?! ......... unataka upewe chako?! ... wakati hapo ulipo tayari una madeni mpaka mtoto wako ambae hajazaliwa anadaiwa?! ... Rejea Jumla ya Deni la Taifa alafu gawanya kwa watu Milioni 40 utapata unadaiwa sh ngapi!
.
 
..tumeshawahi kuwa na Mawaziri, Jaji Mkuu,DPP, toka nje.

..majuzi, wakati wa awamu ya Raisi Mkapa, CEO wa Tanroads alikuwa raia wa Ghana.

Ila hatujawahi kuwa na rais kutoka nje atakayefanya kazi kwa mkataba wa miaka kadhaa kama yule jamaa wa Tanroads wakati wa Mkapa.Hii itakuwa kali ya mwaka
 
Haya ni matatizo ya ushabiki usio na tija.
N a ubinafsi usio namaana , waliotoa wazo la kuagiza madr nje hawana nia nzuri na Rais wao na pia hawana nia nzuri na wa TZ, vidola vichache tulivyo navyo badala ya kuagiza madawa na machine za hospiatal tunaanza kuzirudisha huko huko.

Taifa langu changa lenye miaka 50 tu na viongozi wa changa wa maamuzi
Tuna rais wa namna gani asiyeweza kufikiri na kufanya maamuzi yenye maana kwa watu wake, kila siku washauri wake wanamshauri vibaya. Nadhani tatizo liko kwa rais mwenyewe, kwa hapa nchi ilipofikia namuunga mkono MM kuwa chanzo cha yote haya ni rais, nadhani tuagize rais kwanza kutoka nje.
 
naona sasa haya yamekuwa ni mashindano. Badala ya kusolve tatizo wanatumia fedha nyingi kuleta madaktari ili waonekane hawatishiwi. Too sad.......

Hapo kwenye bold.....madaktari wanajua zipo ndio maana wamezidai mpaka kufikia kutekwa na kuteswa,mshahara wa mil 3.5 unawezekana
 
Back
Top Bottom