Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,385
Watoke Iran, si ndio nchi inayotupeperushia bendera?
Ila hatujawahi kuwa na rais kutoka nje atakayefanya kazi kwa mkataba wa miaka kadhaa kama yule jamaa wa Tanroads wakati wa Mkapa.Hii itakuwa kali ya mwaka
..tumeshawahi kuwa na Mawaziri, Jaji Mkuu,DPP, toka nje.
..majuzi, wakati wa awamu ya Raisi Mkapa, CEO wa Tanroads alikuwa raia wa Ghana.
watoke iran, si ndio nchi inayotupeperushia bendera?
Kama suluhisho la matatizo yeti ni kutoka nje kwa nini basi tusiende hadi mwisho wa hoja? Sijui watatoka nchi gani!
Mmesahau menejimenti ya TAANESICO NA DAAWASICO nao walitoka nje wakachooota until waliposhiba na kuzidiwa ndio...
Lile darasa lililetwa na ndgu ANBEN kwakuwa alisema "...kwenye nyanja zote tunao wataalam na tumeweza kasoro ....."
hahaaaaaa!!!!!!! Na wabunge wangegoma wanaagizwa nje ya nchi.
Mahabusu wakigoma, wanaagiza nje ya nchi kesi inaendelea.
Eucalyptos,
..hao walikuja kama kampuni, sisi tunapendekeza waje kama wataalamu mmoja mmoja.
..halafu usifikiri kwamba inashindikana kuwalipa. Wabunge wa Tanzania at the end of the year wanachukua kitita kikubwa kuliko Wabunge wa Marekani.
Yawezekana manake tunafanya biashara ya bendera sasa hivi kama wakandarasi wanavyouza mabango siteMMJ
I concurr with your proposal, tuanzie na kuagiza Rais pamoja na Waziri Mkuu, tupatiwe na governor wa Benki Kuu kutoka USA, na kwa kuwa Watz bei zinapangwa kwa Dola za Kimarekani basi tuikatae Shilling kama legal tender tutumie Dola yaani we acha tu huna haja ya kuumwa na kichwa kubadilisha fedha, mambo mdundo!
Kama suluhisho la matatizo yeti ni kutoka nje kwa nini basi tusiende hadi mwisho wa hoja? Sijui watatoka nchi gani!
Mzee Mwanakijiji Viongozi mahiri mbona tupo tu mnatuacha huku mitaani kisa tu hatuna sura za kufutia.Kama suluhisho la matatizo yeti ni kutoka nje kwa nini basi tusiende hadi mwisho wa hoja? Sijui watatoka nchi gani!