Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,012
Usidandie gari kwa mbele..utaolewa siku nyinginewe.Crap!!
Usidandie gari kwa mbele..utaolewa siku nyinginewe.Crap!!
Sina muda wa kurumbana na mtu mjinga kama wewe!!Usidandie gari kwa mbele..utaolewa siku nyinginewe.
Naona njia yako ya kutafuta mabwana ni very effective..ni-PM tuyamalize.Sina muda wa kurumbana na mtu mjinga kama wewe!!
Kaka, nilijua utanipata tu natokea wapi, na suala la creativity ni hadithi embu jiulize position ambayo mfanyabiashara yeyote angeichekelea sisi tuna fail hakija mshindani inakuwaje.Kaka ndio hapo watu tunashindwa kuelewa. Shirika kama Tanesco linawezaje kuwa mahututi wakati kuna demand kubwa ya umeme, watu wanafuatilia miezi kueza kuunganishwa? Haya na hawa TTCL, ok fine wanacompetition kwene cellular...lakini wana edge kubwa sana kwene network kama watafanya biashara ya data, mambo ya internet na pengine hata cabled TV mambo ya HDTV etc etc.
Sababu kubwa ya kufeli kwa haya mashirika ni kwamba hakuna system ya kueleweka ya utendaji na utawala na wajanja wachache wanatumia udhaifu huo kujinufaisha. Hakuna nia ya dhati ya kuyafanya haya makampuni yajiendeshe kwa faida, yawe totally autonomous na yaweze pengine kujiweka kwene soko la hisa na kuuza shares. Ni serikali ya Tz ni kituko kikubwa.