TTCL yaomba bil.70/- kujiimarisha

Wadau, kuna wakati huwa napata shida sana na mashirika yetu ya serikai/umma aka "ya wazalendo".

To be honest sioni uzalendo wowote zaidi ya very high operating cost, ufujaji na inefficiencies... nachelea sana kuelewa kwanini vodacom, tigo, zantel etc hadi sasa sijasikia wakipiga kelele kuomba msaada wakati wapo kwenye the same industry na ttcl, kibaya zaidi, ttcl wana infrastructure kubwa na wider kuliko hao wengine, lakini wamedumaa na kudumaza their very own company

given options available na hali halisi ya nchi, kuwapa ttcl hata laki moja ni kuhujumu uchumi na ni bora either wangeuza au kuingia ubia na watu kama voda, airtel tigo, sasatel etc kuboresha walichonacho

rai yangu kwa serikali, seel ttcl or find potential partners, dont even thing of pumping money... tuangalie bima, atcl, trl etc wanavyotafuna kama mchwa
 
Kaka ndio hapo watu tunashindwa kuelewa. Shirika kama Tanesco linawezaje kuwa mahututi wakati kuna demand kubwa ya umeme, watu wanafuatilia miezi kueza kuunganishwa? Haya na hawa TTCL, ok fine wanacompetition kwene cellular...lakini wana edge kubwa sana kwene network kama watafanya biashara ya data, mambo ya internet na pengine hata cabled TV mambo ya HDTV etc etc.

Sababu kubwa ya kufeli kwa haya mashirika ni kwamba hakuna system ya kueleweka ya utendaji na utawala na wajanja wachache wanatumia udhaifu huo kujinufaisha. Hakuna nia ya dhati ya kuyafanya haya makampuni yajiendeshe kwa faida, yawe totally autonomous na yaweze pengine kujiweka kwene soko la hisa na kuuza shares. Ni serikali ya Tz ni kituko kikubwa.
Kaka, nilijua utanipata tu natokea wapi, na suala la creativity ni hadithi embu jiulize position ambayo mfanyabiashara yeyote angeichekelea sisi tuna fail hakija mshindani inakuwaje.

Hakuna creativity hapo kwenye uongozi na utakuta jamaa ana li Phd na sasa wanadai msaada wapewe hela obvious kuna matatizo kwenye management and business strategy or simply just cluesless people.
 
Ni bora mara 10000x yale MABILIONI wanayotaka kutuibia kupitia DOWANS wapewe TTCL...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom