TTCL wanawaibia wateja wao wa internet?

Wakulalamikiwa hapa ni TCRA. Wamebakia kuwa taasisi tasa!! Mambo kibao yanakiukwa na kampuni mbalimbali za mawasiliano, kero kibao zinaripotiwa na kuandikwa, lakini hakuna cha uchunguzi wala ripoti tunayosikia wala kuona. Wamebakia kutoa leseni za FM tu kwa wale wanaohonga!!

This all is down to the fact that, there is no other board, independent or governmental, to overlook, regulate or keep this institution in check!! A lingering but all too common story with many of our organs. Think of Takukuru, Ikulu and Jeshi na matumizi yao!!
 
mwe tukimbile wapi?, tatizo lingine ttcl ni kama utaweka pesa zaidi kisha ukanunua bundle ikaisha na salio lako pia wanakomba, mara 2 wamenifanyia hivi, sijui tukimbilie wapi!
 
Ukinunua internet bundle unaibiwa, izo si TTCLunlimited internet wanakubania bandwith...

Hivi kuna kampuni yoyote ambayo haifanyi mchezo huu mchafu?
Tatizo zi TTCL bali ni vyombo vilivyotazamiwa kumlinda mtumiaji wa huduma hii ambavyo kama asasi nyinginezo ndani ya serikali hii chovu ni Corrupt. Makampuni yote ya mawasiliano kuanzia Vodacom, Tigo, Zantel, Airtel n.k. ni wezi kabisa. Wizi wa namna hii kamwe usingeweza kufanywa katika nchi za wenzetu wenye serikali na vyombo vya kuhakikisha kila kinachotendeka ni halali. Tume ya mawasiliano ni bogus na yaelekea hawa mnaowaita wawekezaji washawagundua kwamba Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu na kwamba mwenye kutaka kukisukaau kukinyoa sawa. Wizi huu utakoma tu serikali mpya itakapoingia madarakani kwa tiketi isiyo ya CCM ambapo wahuni hawa watawajibishwa kwa kuhakikisha wanatenda haki.
 
uuh kumbe wengi wana tatizo hili kwa kweli hata sisi ofcn kwetu we are facing the same prob. tulikuwa tunalipa laki 8 kwa mwezi ikifika tar. 16 ya mwezi i tunakatiwa huduma tulipofuatilia tukagundua kuna siku usiku eti tulidownload 8 GB kwa usiku mmoja hapo ndio tulijiridhisha kuwa tunaibiwa kwa kuwa hakuna mtu aliyekuwepo ofcn kkufanya kazi yoyote uck huo, tukaingia kwenye unlimited hiyo nayo tunaweza kumaliza siku 2 -5 hakuna mtandao eti wana tatizo kidogo lakini hakuna fidia yoyote, hivi kweli haya makampuni yanasurvive kwa faida za wizi kwa wateja, hawajali kabisa mikataba waliyoingia na wateja wao ifike mahali tuanze kuwafungulia mashataka kwenye mahakama za biashara huenda ikawa ni dawa au angalau ikawatia uoga kidogo.
 
Mimi ni mteja mzuri tu wa TTCL kwa miaka minane sasa; Yafuatayo ni ukweli kuhusu TTCLBB
  1. Kuna wafanyakazi wa TTCL wasio waaminifu ambao huunganisha watu wengine kwa kutumia account yako; baada ya malalamiko mengi walidai wamedisable uwwezekano wa mteja kuunga kwa akaunti yake nje ya line kusudiwa, ila tu kwa maombi maalum in case mtu una line mbili na unataka zitumike intachangeably. Kuna muda nilikuwa natumia dedicated lakn ikaonekana data usage yangu ni ya kutisha hasa nyakati za usiku-nilvowasiliana na msamalia mmoja akanionesha mpaka namba ya mwizi wangu (a local cyber cafe) nilivopeleleza nikagundua kuwa ni kweli wanaaccess internet kwa kutumia akaunti yangu, na wanafanya downloading ya files kubwakubwa usiku kucha!!!
  2. Kwa wanaonunua bundle mbalimbali; 2,8,20,40,80Gb, kama watumiaji ni wengi; ukigundua matumizi ya net yameongezeka ghafla jaribu kuangalia wageni katika ofisi yako; kuna wafanyakaz wengine wana interest sana na mambo ya movies, games na vitu kama hvyo: mtu wa namna hyo akiingia kazini saa2 mpaka anaposign out saa10 anaweza kuconsume zaidi ya 5Gb*24=120Gb yeye pekee!!!! WATCH OUT
  3. Kama mahitaji yako ya data ni makubwa, hauna optin nyingine zaidi ya TTCL, hvyo ukiona mienendo isiyo sahihi jaribu kuwasummbua mara kwa mara-kuhama si suluhisho kwa sababu hauna pa kwenda!!!
 
Maaan! Juzi i was shocked to death, nimenunua modem na cm zao kwenye promo huko 88, nikaweka vijicent vyangu nikwanjuke kwa raha zangu....mwee kufungua page ya Jf na kukoment post 1 credit hakuna....nlibaki macho kodo cuz walikwapua kwa haraka halafu miela mingi bhana. Nilipolalamika nikaambiwa na washkaji eti modem mpya lazma wakombe miela mingi! Wajirekebishe haraka kabla.....
 
Aisee hii nchi kila kitu ni ujanja ujanja tu.

Hao zantel kwa kweli mimi wameniboa sana na huu wizi wanaofanya.

Bado nafanya uchunguzi kujua ni mtandao gani hawana huu mchezo ili "nihamie", nilikuwa nimeanza kuwafikiria TTCL lakini kumbe nao hawavumi lakini wamo!

Ombeni activity log muangalie wapi mulitumia zaidi. Ila kuna kitu ambacho wengi wetu huwa hatupay attention - automatic updates za kwenye computer zetu pamoja na antivirus huwa zinakula mamega byte nyingi kweli.

Vile vile chunga unapodownload movies na music hapo ndizo megabytes zinakwenda kweli kweli. Na ofisini chunga kuna w/kazi wanadownload na kuangalia movies muda mwingi na hii inapoteza megabytes nyingi. Nasikia kuna baadhi ya wafanya kazi huwa wanadownload mpaka porno movies huko maofisini.
 
Wote ni wezi kwa mwendo huo. Mi niliingia kichwa kichwa nikanunua Vodacom ya 70,000 kwa mwezi, yani kila nkicheki balance ela imekatwa, ndani ya wiki mbili balance zero. Sikujisumbua kuwapigia kwani niliwahi kuwa na ya TTCL miaka ya nyuma nao walikuwa wananiuzia monthly bundle lakini inaisha ndani ya muda mfupi. Tz walaji hawana watetezi.

Kwa kuwa nilikuwa na experience mbaya na hii monthly subscription nilivyoenda VODA nliwauliza kabisa je hii haitaisha mpaka mwezi uishe, wakasema ndio. Na mimi wala sina matumizi makubwa kwani most of the times natumia mtandao wa ofisini.


Ukinunua internet bundle unaibiwa, ukichagua unlimited internet wanakubania bandwith...

Hivi kuna kampuni yoyote ambayo haifanyi mchezo huu mchafu?
 
Mimi sasa hiyo Voda nikiwa home mpaka ntoke nje kibalazani ndo napata net na wakati mwingine inagoma kabisaaaa. Sasa hivi sitaki kusikia nanunua elfu tatu maximum kama emergency umeme ukikata ofisini. Lol.

Sehemu kubwa dar-es-salaam hawana coverage! Ttcl Total garbage.
 
Mimi sasa hiyo Voda nikiwa home mpaka ntoke nje kibalazani ndo napata net na wakati mwingine inagoma kabisaaaa. Sasa hivi sitaki kusikia nanunua elfu tatu maximum kama emergency umeme ukikata ofisini. Lol.

Hii ndio shida ya kutumia internet ya kupima na vijiko. Mimi nina connection nyumbani kwangu ya 8 Mbps. Nakosa internet tu endapo umeme ukikatika. Hayo matatizo kama yenu mimi huwa nayasikia kwenye bomba.
 
Nchi hii kila mtu anataka kuiba, mashirika yanaiba, taasisi za dini zinaiba, sijui inakuwaje!! Hebu nenda kwenye Thread za Technology & Gadgets, kama sikosei, uone watu wanavyofundishana wizi kwa kutumia teknolojia mbalimbali. TUMEKWISHA!!!
 
Hii ndio shida ya kutumia internet ya kupima na vijiko. Mimi nina connection nyumbani kwangu ya 8 Mbps. Nakosa internet tu endapo umeme ukikatika. Hayo matatizo kama yenu mimi huwa nayasikia kwenye bomba.
Wajuze wenzako unatumia mtandao gani, badala ya kuwasanifu!
 
Una uhakika kwa maana ya ushahidi ? naungana na wanaoshauri kwanza uangalia ni applications gani au sites watu wanazotembelea inawezekana kuna wanaodownload /kuview vitu vyenye ku consume bandwidth kubwa.Pia uwe na uhakike kwamba network yako haina kirusi kama mass mailing viruses au vingine vyenye ku congest LAn/WLAN.sijui mnaconnect vipi lakini kuna tools zenye kuweza kuangalia bandwidth.Halafu swali lingine mnatumia shared line au dedicated ? kama ni shared usilaumu sana jaribu dedicated uone mambo.Ma ISP wengi haswa wa makampuni ya kiasi wana tabia ya kuroute packets flani toka kwa clients wao na kupitishia kwenye routers za client wengine ila sidhani kama huwa wanafanya hivi lkn ni vyema ukacheki
 
Ni aibu kwa kampuni ya kizaelendo kufanya ujinga kama huu, ulichokiongea mkuu ni kweli kabisa TTCL ni wezi, poor customer care, wamejaa wazee wasio wabunifu na wasio na uelewa wa teknolojia inaendaje inavyokwenda. Na kuhus uwizi ni makampuni yote ya simu Wakiongoza TIGO. kwa uchunguzi mdogo tu nimeweza kugundua, kampuni ikiendeshwa na muhindi hasa haya makampuni INTERNET na SIMU ni hatari kwani wa jamaa ni wezi mno. Mfano tigo ukinunua muda wa maongezi kutumia Tigo pesa kiasi cha sh elfu moja unaweza ongea na watu wawili ikizidi sana watatu, tofauti na ukiweka muda wa maongezi kwa kutumia Kadi(vocha) unatumia zaidi ... fanyeni utafiti
 
Back
Top Bottom