Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,735
- 39,838
Ndio, hio ni 4G lte router, input yake ni line za Simu, wewe unahitaji ambayo input zake ni copper cable.Kwahiyo mkuu kwenye adsl+ haitakubali?
Ndio, hio ni 4G lte router, input yake ni line za Simu, wewe unahitaji ambayo input zake ni copper cable.Kwahiyo mkuu kwenye adsl+ haitakubali?
ADSL zina standard tofauti kuwa muangalifu sio kila router itakufaa. Kumbuka pia ukichukua modem tofauti configuration ni jukumu lako mafundi wa ttcl wanaweza wasiwe na msaada sana.Kwahiyo mkuu kwenye adsl+ haitakubali?
Itakuepo ila sijajua wapi na wapi.Chief-Mkwawa,Mamb vipi broo..
Adsl ya 25k kwa mwanza Inapatikana?
Mbili kwa pamoja kivipi broo Sorry kwa usumbuf lknItakuepo ila sijajua wapi na wapi.
Tembelea ofisi zao ama toka nje Angalia nguzo za umeme ama za simu, ukiona zile waya za kizamani ambazo zipo mbili kwa pamoja basi ipo
Itakuepo ila sijajua wapi na wapi.
Tembelea ofisi zao ama toka nje Angalia nguzo za umeme ama za simu, ukiona zile waya za kizamani ambazo zipo mbili kwa pamoja basi ipo
Sioni vizuri picha mkuu, ila nahisi hizo ni Fiber za kutosha hapo, wait nikifika home nikupigie picha ya Waya wa Adsl ulivyo.Mbili kwa pamoja kivipi broo Sorry kwa usumbuf lkn
Daah itakua poah San ka ni fiber broo maan nilikua naitaka hio Ila nkahof kua hazijafka uku maan Niko ndani ndani sanaSioni vizuri picha mkuu, ila nahisi hizo ni Fiber za kutosha hapo, wait nikifika home nikupigie picha ya Waya wa Adsl ulivyo.
Fiber ni nzuri zaidi mkuu kama unaweza Afford 55,000 kwa mwezi kama huwezi unaweza kushare na Jirani cost.
Naomba namba ako Pm broo kukupata hapa n tabu San since ndo nmejiunga Leo jf so bad cjaelew freshSioni vizuri picha mkuu, ila nahisi hizo ni Fiber za kutosha hapo, wait nikifika home nikupigie picha ya Waya wa Adsl ulivyo.
Fiber ni nzuri zaidi mkuu kama unaweza Afford 55,000 kwa mwezi kama huwezi unaweza kushare na Jirani cost.
Kwa uzoefu wangu mkuu na Fiber za Bongo hakuna anaye supply router nzuri sababu wanatoa router bure.Katika pita pita zangu nikakutana na mtu akaniambia. TTCL fibre iko njema kwenye speed ila latency yake ni ya uongo.
Ana mdau wake ambae alikuwa anachezaga nae Call Of Duty ndio anakutana na hiyo experience, kwenye game latency ni kubwa ila akiwa anashusha mizigo kama movie speed inakuwa ya kutosha.
Mwenye experience na TTCL fibre to home anipe mrejesho wa hili ikiwezekana hata aje picha ya test kadhaa.
Kwa sasa natumia supakasi na huwa natumia hii website rain Speedtest kupima speed na latency na huwa inakaribiana na ile ambayo naipata kwenye game maana hiyo website na server za game zote zipo ziko South Africa
View attachment 2559210
Ni Adsl2+ Router mkuu, inafaa kwa Copper mkuu, ila router yenyewe ni ya maana Gigabit connection na kama Port ya wan naiona hapo ina maana kama siku unaweka fiber unaweza tumia Ethernet kwenye Wan na hio router ikawa Extension ya kukupa Coverage zaidi.kako chief, kuna hii nimeona huko duniani. kwa hapa kwetu inaweza kunisaidia kwenye matumizi ya fiber au internet ya copper? ebay
Asante kiongozi, ngoja niruke nayo.Ni Adsl2+ Router mkuu, inafaa kwa Copper mkuu, ila router yenyewe ni ya maana Gigabit connection na kama Port ya wan naiona hapo ina maana kama siku unaweka fiber unaweza tumia Ethernet kwenye Wan na hio router ikawa Extension ya kukupa Coverage zaidi.
Imekaa kama antena ya wifi, ni njia tu hio ya kusafirishia internet haimaanishi kwamba mtu analipia ama ni isp ameleta.Naomba kuuliza kampuni gani inatoa huduma hii? Na gharama zipoje kuanzia installation na malipo ya mwezi Chief-Mkwawa View attachment 2561988
Ttcl anatoa hii na gharama zake ni za fiber za mwezi ila izo radio unanunua mwenyeo wanafunga kwenye mnara wao na wanakufungia kwako pia zinakuwa 2 inaweza cost 1.3 installation au upate izo radio bei rahisi inaweza kushuka, radio 1 ni laki 4 kwa 2 ni laki 8..Naomba kuuliza kampuni gani inatoa huduma hii? Na gharama zipoje kuanzia installation na malipo ya mwezi Chief-Mkwawa View attachment 2561988
Katika pita pita zangu nikakutana na mtu akaniambia. TTCL fibre iko njema kwenye speed ila latency yake ni ya uongo.