Try Again: Hatukumuiba Ngoma Airport

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,838
38,730
π™ƒπ˜Όπ™π™π™†π™π™ˆπ™π™„π˜½π˜Ό π™‰π™‚π™Šπ™ˆπ˜Ό'

Akizungumza na AzamSports , Try again amesema kuwa, vilabu vingine vinataka umaarufu tu kupitia Simba. Simba SC haikumuiba Fabrice Ngoma Airport, tayari walikuwa wameshamalizana nae kwa hiyo wasingeweza kumuiba Airport.

"Hatukumuiba Fabrice Ngoma, wakati anakuja biashara ilikuwa imekwisha, sasa unamuibaje !! unamchukuaje Airport?

"Tuliongea na uongozi wa Al-Hilal kwa kuwa tuna uhusiano mzuri haikuwa ngumu sana ukizingatia pia mchezaji mwenyewe alipenda kujiunga na Simba na agent wake alimshauri".

Salim Abdallah Try again
Mwenyekiti wa bodi ya Simba SC
 
fb4f6999-1386-4f50-a3db-1ab179e8d516.jpg

Tupo busy huku
Nyie UTOPOLO Endeleeni kuchomekea
 
π™ƒπ˜Όπ™π™π™†π™π™ˆπ™π™„π˜½π˜Ό π™‰π™‚π™Šπ™ˆπ˜Ό'

Akizungumza na AzamSports , Try again amesema kuwa, vilabu vingine vinataka umaarufu tu kupitia Simba. Simba SC haikumuiba Fabrice Ngoma Airport, tayari walikuwa wameshamalizana nae kwa hiyo wasingeweza kumuiba Airport.

"Hatukumuiba Fabrice Ngoma, wakati anakuja biashara ilikuwa imekwisha, sasa unamuibaje !! unamchukuaje Airport?

"Tuliongea na uongozi wa Al-Hilal kwa kuwa tuna uhusiano mzuri haikuwa ngumu sana ukizingatia pia mchezaji mwenyewe alipenda kujiunga na Simba na agent wake alimshauri".

Salim Abdallah Try again
Mwenyekiti wa bodi ya Simba SC
Aahaaaa uongoooo
 
Na Mimi niulize.
Nani aliyeanzisha habari za Ngoma kuibwa Airport?
 
Timu zipo kwenye mipango ya msingi, viongozi wa Simba wapo busy na propaganda za kishabiki.
GENTAMYCINE nasikia mmecheza na kipanga na kushinda 3-0, mbona hutuambii asee.
Nitawaambia Simba SC ikimfunga Al Ahly katika Michuano mipya na yenye Hadhi Kubwa Barani Afrika ( kuliko ile ya Kucheza Fainali ya CAFCC kwa Wapuuzi fulani ) iitwayo AFRICAN FOOTBALL LEAGUE kisha Kucheza Nusu Fainali na Mamelodi Sundown FC na Kuwafunga na Kutinga Fainali kwa Kucheza na Esperance du Tunis na Kumfunga hadi Kutwaa Ubingwa na kupata Zawadi ya Fedha za Kuweza Kuwanunua Wapuuzi FC Kigamboni, Rais wao Jeans Midabwada, Mdhamini wao MSG, Jengo lao Chafu na Mashabiki wao wasio na Akili kama alivyothibitisha Msemaji na Mhamasishaji wao Mzungu Pori mvuta Mirungi, Ugolo na Bangi za Ilala Bungoni zinazovutwa mno Uwanja ulioko Jirani na Msikiti na Nyumbani Kwao Mchezaji wa Coastal Union FC Ibrahim Ajib.
 
Kanywe dawa zako hapo Lutindi
 
na Akili kama alivyothibitisha Msemaji na Mhamasishaji wao Mzungu Pori mvuta Mirungi, Ugolo na Bangi za Ilala Bungoni zinazovutwa mno Uwanja ulioko Jirani na Msikiti na Nyumbani Kwao Mchezaji wa Coastal Union FC Ibrahim Ajib.
hii ni kweli tupu
 
Back
Top Bottom