Licha ya shinikizo la kimataifa kupinga hukumu ya kifo dhidi ya Troy Davis, jimbo la Georgia nchini Marekani limemnyonga kijana huyo na kuzusha shutuma kubwa kutoka ulimwengu na wanaharakati wa haki za binaadamu. DW-WORLD.DE,
Aliua!yeye pia kauliwa.muosha huoshwa
Conclusion yako iko sawa kabisa na uandishi wako usiozingatia kanuni zozote za uandishi.Ushauri wa bure,rejea habari ya Troy,ushahidi,maelezo na hukumu.Aliua!yeye pia kauliwa.muosha huoshwa
Hauwawe ndio nini?Clearly si tu haujui uandikacho balì hata usemacho...please kindly soma habari ya hii kesi vizuri thou nahisi hata haujaisoma kabisa.Hukumu ya haki alieuwa nae hauwawe!
Aliua!yeye pia kauliwa.muosha huoshwa
Hauwawe ndio nini?Clearly si tu haujui uandikacho balì hata usemacho...please kindly soma habari ya hii kesi vizuri thou nahisi hata haujaisoma kabisa.
hapa ni mahala pake yule ni black mwenzetu