Troy Davis anyongwa

Usikurupuke kupost kitu kaka soma kwanza thread au google usome kwanza ishu nzima. Naona unapelekwa pelekwa tu

Naona wewe ndio unakurupuka tu labda unataka kujua zaidi, mimi siwezi kupost kitu nisichokijua.

Kwa kukusaidia Troy Divis ni Mmarekani mweusi mwenye asili ya ya Afrika. Alikuwa akishikiliwa kuhusika mauaji ya Mark MacPhail, alipigwa risasi huko Georgia
 
Hauwawe ndio nini?Clearly si tu haujui uandikacho balì hata usemacho...please kindly soma habari ya hii kesi vizuri thou nahisi hata haujaisoma kabisa.

Nadhani wewe ndio ujui hii kesi hata nikikuliza imeanza lini uwezi kujua, Mahakama imeona Troy Davis, na hatia ya kumpiga risasi Mark MaPhail.

Kwenye hii kesi watu maarufu duniani kama, Papa Benedict wa 16, Askofu Desmond Tutu, Jimmy Carter, na karibuni watu milioni moja walisaini hati ya kutaka kuzuiwa kwa hukumu hii.

Sijui kama unalajua ili au kwa sababu Troy Davis mtu mweusi? Fuatilia vizuri hii kesi, mimi miaka sasa naifutailia hii kesi niulize chochote kuhusu hii takujibu
 
Nadhani wewe ndio ujui hii kesi hata nikikuliza imeanza lini uwezi kujua, Mahakama imeona Troy Davis, na hatia ya kumpiga risasi Mark MaPhail.

Kwenye hii kesi watu maarufu duniani kama, Papa Benedict wa 16, Askofu Desmond Tutu, Jimmy Carter, na karibuni watu milioni moja walisaini hati ya kutaka kuzuiwa kwa hukumu hii.

Sijui kama unalajua ili au kwa sababu Troy Davis mtu mweusi? Fuatilia vizuri hii kesi, mimi miaka sasa naifutailia hii kesi niulize chochote kuhusu hii takujibu

we ndo ulikua jaji au mwendesha mashtaka?
 
usilolijua ni kama usiku wa giza. Tena inaonekana umeropoka tu. Hii kauli yako mbaya. Kafuatilie case yake maana inaonekana hujui. Jamaa amesingiziwa, haki za weusi america hazifuatwi.
Nimesoma inaonekana jamaa alimuua yule askari.acha na yeye kauwawa.alichopanda ndo kakivuna.Maisha yanaendelea
 
Troy Davis inasemekana ni kweli aliua kwa kukusudia, tena baada ya kum-shoot huyo askari (Mark MacPhail ) na kudondoka pia alimfuata na kumpiga risasi nyingine ili afe kabisa! Hii nikuficha uhusika wake ktk vurugu iliyokuwa inaendelea.

Soma zaidi hapa chini ili mjue kisa chenyewe na siyo ku-comment hovyo hovyo (source-wikipedia):

Troy Anthony Davis (October 9, 1968 – September 21, 2011)[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] was an American man convicted of and executed for the August 19, 1989, murder of police officer Mark MacPhail in Savannah, Georgia. MacPhail was working as a security guard at a Burger King restaurant when he intervened to defend a man being assaulted in a nearby parking lot. During Davis's 1991 trial, seven witnesses testified they had seen Davis shoot MacPhail, and two others testified that Davis had confessed the murder to them among 34 witnesses that testified for the prosecution, and six others for the defense, including Davis. Although the murder weapon was not recovered, ballistic evidence presented at trial linked bullets recovered at or near the scene to those at another shooting in which Davis was also charged. He was convicted of murder and various lesser charges, including the earlier shooting, and was sentenced to death in August 1991.
Davis pleaded not guilty at his trial and maintained his innocence until his execution. In the 20 years between his conviction and execution, Davis and his defenders secured support from the public, celebrities, and human rights groups. Amnesty International and other groups such as National Association for the Advancement of Colored People took up Davis's cause. Prominent politicians and leaders, including former President Jimmy Carter, Rev. Al Sharpton, Pope Benedict XVI, Archbishop Desmond Tutu, former U.S. Congressman from Georgia and presidential candidate Bob Barr, and former FBI Director and judge William S. Sessions called upon the courts to grant Davis a new trial or evidentiary hearing. In July 2007, September 2008, and October 2008, execution dates were scheduled, but each execution was stayed shortly before it was to take place.
In 2009, the Supreme Court of the United States ordered the U.S. District Court for the Southern District of Georgia to consider whether new evidence "that could not have been obtained at the time of trial clearly establishes [Davis'] innocence". The evidentiary hearing was held in June 2010. The defense presented affidavits from seven of the nine trial witnesses whose original testimony had identified Davis as the murderer, but who had changed or recanted their previous testimony. Some of these writings disavowed parts of prior testimony, or implicated Sylvester "Redd" Coles, whom Davis contended was the actual triggerman. The state presented witnesses, including the police investigators and original prosecutors, who described a careful investigation of the crime, without any coercion. Davis did not call some of the witnesses who had supposedly recanted, despite their presence in the courthouse; accordingly their affidavits were given little weight by the judge. Evidence that Coles had confessed to the killing was excluded as hearsay because Coles was not subpoenaed by the defense to rebut it. In an August 2010 decision, the conviction was upheld, and the court described defense efforts to upset the conviction as "largely smoke and mirrors", and decided that several of the proffered affidavits were not recantations at all. Subsequent appeals, including to the Supreme Court, were rejected, and a fourth execution date was set for September 21, 2011. Nearly one million people signed petitions urging the Georgia Board of Pardons and Paroles to grant clemency.[SUP][3][/SUP] The Board denied clemency[SUP][4][/SUP] and, on September 21, it refused to reconsider its decision.[SUP][5][/SUP] After a last minute appeal to the United States Supreme Court was denied, the sentence was carried out through lethal injection on September 21, 2011.[SUP][6[/SUP]
 
Mimi nashangaa watu wanasema eti weusi.Mtu kaua.then mnasema kaonewa,mimi iliniuma sana mjane wa polisi kuachwa watoto wa miaka 2,mwingine mchanga kabisa.acheni kuwa racist.JAMAA ALIUA NAYE KAFA.
 
habari yenyewe imekaa ki sharobaro, haileweki unafikiri wachangiaji utatuelewa. Weka full story hapa watu tujui nini kinaendelea.
 
Back
Top Bottom