Tribute to David Wakati, Kikwete, Mengi, Nchimbi na wengine, Wamzungumzia David Wakati (TBC Live)

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,549
113,736
Tribute to David Wakati, Kikwete, Mengi, Nchimbi na wengine, Wamzungumzia David WakatWatch TBC Live Now!
 
Mzungumzaji wa Kwanza ni Waziri wa Habari, Dr. Emmanuel Mchimbi, aliwasilisha salaam za rais Kikwete.
Rais ana msiba wa kifamilia hivyo atatembelea familia kutoa pole zake baada ya msiba.

Mchimbi kasema Mzee Wakati, alitanguliza mbele maslahi ya taifa.
 
Mzee Mengi anasema David alikuwa mnyenyekevu. Waandishi wajifunze, kusema, kuandika na kutangaza ukweli mtupu!.
 
Anafuatia mzee Mengi, anasema waandishi wote watalazimika kumkumbuka Mzee WAKATI kwa kutangaza ukweli mtupu...Kwaheri David, anamaliza!
 
Saa hizi ni kuweka mashada. Awali MC, Hamza Kasongo alimzungumzia Mzee Wakati, alizidiwa na kukatiza kwa machozi!
 
Askofu Dr. Valentine Mokiwa, anamzungungumzia David Wakati, alikuwa Down to Earth.

Alikuwa muadilifu aliyesimama kwenye ukweli.

Walimtizama kama kioo
 
Dikson Saileni

Mzee Wakati alikuwa mtu mkarimu sana, alikuwa amebobea kwenye lugha ya Kiswahili.
 
Salim Mmbonde: David Wakati katuachia kuheshimu kazi. Kazi ya utangazaji inahitaji uvumilivu, umakini na ustahumilivu!
 
Mhe. Harold Maruma-Diwani wa CCM, "David Wakati alikuwa mpenda watu. alifit in kwa watu wa rika zote".
 
Akitanda na Muhabi, vijana wa CCK pia wamemzungumzia, Divid Wakati alikuwa ni tunu!
 
Mandela Wakati, mtoto wa David Wakati, akizungumzia legacy ya baba yake, very humble, down to earth, legacy yake ni uadilifu wake!

Kipindi kimekwisha.
 
Kipindi kimeisha baada ya Pasco kujifagilia kwa kipindi chake cha zamani cha Kitimoto, akieleza kuwa yale yote yalikuwa mafunzo aliyofunzwa na Mzee David Wakati.
 
Back
Top Bottom