Tribute to David Wakati, Kikwete, Mengi, Nchimbi na wengine, Wamzungumzia David Wakati (TBC Live)

Mzee Kasongo Hamza anaelezea Historia ya Watangazaji wakongwe...
TBC ina scratch kishenzi, sijui ni kwangu tu!
PK, pole kwa scratch za TBC, unaonyesha bado unaangalia TBC kupitia analojia, nakushauri move to digitali kupitia Star Time au DSTV, hakuna scratch. Analogia mwisho mwaka 2014, usisubiri mpaka mwisho, bridge the digital devide now!
 
PK, pole kwa scratch za TBC, unaonyesha bado unaangalia TBC kupitia analojia, nakushauri move to digitali kupitia Star Time au DSTV, hakuna scratch. Analogia mwisho mwaka 2014, usisubiri mpaka mwisho, brodge the digital devide now!
Mkuu,
Natumia king'amuzi cha Startimes, na screen yao Hisence Technology, lakini bado scratch zilikuwa za hatari!...anyway, it should probably be something with weather changes, or location factor!
All in all, ushauri huu utawasaidia wanajamvi wengi tu!
 
Kipindi kimeisha baada ya Pasco kujifagilia kwa kipindi chake cha zamani cha Kitimoto, akieleza kuwa yale yote yalikuwa mafunzo aliyofunzwa na Mzee David Wakati.
PK, sikujifagilia, bali nime mention kwa angalizo kuwa "Kama mimi Pascal Mayalla ni mtangazaji mzuri, sifa ziende kwa David Wakati aliyenifundisha kazi".

Ile kama, inamaanisha probability ya kama ni mzuri, ikimaanisha naweza kuwa sio mtangazaji mzuri, au hata kuwa ni mtangazaji mbaya!
 
Mode: Naomba uihamishe hii thread na kuinganisha na ile main ya Tribute kwa Mzee Wetu huyu.
 
PK, sikujifagilia, bali nime mention kwa angalizo kuwa "Kama mimi Pascal Mayalla ni mtangazaji mzuri, sifa ziende kwa David Wakati aliyenifundisha kazi".

Ile kama, inamaanisha probability ya kama ni mzuri, ikimaanisha naweza kuwa sio mtangazaji mzuri, au hata kuwa ni mtangazaji mbaya!
Pasco you are good, and you know it!
Ila huwa sijasumbua kichwa changu kujifundisha maana ya PPR!~..Will you mind to explain to me?
 
Pasco you are good, and you know it!
Ila huwa sijasumbua kichwa changu kujifundisha maana ya PPR!~..Will you mind to explain to me?
PK, thanks, I used to be good then, not now, but may will be good again in a near future, najipanga kurudi kwenye media fulltime.
PPR ni Press & Public Relations.
 
PakaJimmy,

Kamanda mpaka leo bado uko kwenye analogy nunua Star Time bana aahaaaa aa.

PK, pole kwa scratch za TBC, unaonyesha bado unaangalia TBC kupitia analojia, nakushauri move to digitali kupitia Star Time au DSTV, hakuna scratch. Analogia mwisho mwaka 2014, usisubiri mpaka mwisho, bridge the digital devide now!
 
Ntabaki naikumbuka sauti yake nzito na inayovutia, DW alikuwa makini, shukrani kwa wadau Pascal Mayalla na PK, halafu PM ndo Pasco sasa mod si wamuunganishie ID zake
 
Ntabaki naikumbuka sauti yake nzito na inayovutia, DW alikuwa makini, shukrani kwa wadau Pascal Mayalla na PK, halafu PM ndo Pasco sasa mod si wamuunganishie ID zake
Obe, thanks. Lakini Pascal Mayalla na Pasco (wa jf) ni watu wawili tofauti. Japo tunashabihiana sana, na sometimes we hit together, lakini mmoja ni Pascal Mayalla ni "Me" na Pasco ni "I". Natumaini mnaolewa concept ya ME& I mtanielewa, wale msiofahamu kabisa hii concept ya Me & I, tafuteni makala ya Dr. Sigmund Freud "Dr Jecklly & Mr. Hyde".
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Back
Top Bottom