Huko kigamboni maeneo ya kisiwani (kwa Steven) pameonekana kulalamikiwa sana na baadhi ya askari wa usalama barabarani kutokana na foleni ya kijinga inayochangiwa na uzembe wa Tarura/ Tanroad!
Itakumbukwa kila mwaka serikali hutoa fungu la kurekebisha kurudia eneo hilo!
Hadi sasa eneo hilo limesharudiwa kufumuliwa mara ya tano kila mwaka na bado mashimo eneo hilo hayaishi!
Wakitolea mfano shimo lililopo eneo la MOIL (ESCROW) limeonekana kuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hata kwa askari kutokana na msongamano ambao unachangiwa sana na uchakavu wa barabara eneo hilo Ambapo magari yanalazimika kupita upande mmoja kwa foleni!
Askari hao wanasema taarifa zimeshapelekwa tarura/tanroad kuomba wafukie pale hata kwa dharula lakini hakuna chochote kilichofanyika hadi sasa jambo linalowagharimu kama askari kushindwa kwenda sehemu nyingine kutekeleza majukumu yao ya usalama barabarani!
Tunaomba waziri Bashungwa na wizara ya ujenzi mtuondolee watu wazembe wasiyoweza kusimamia majukumu yao kwa wakati!
Tunaomba mtuondolee hawa watumishi wazembe kigamboni