Traffic police apigwa live

Acha fix wewe mie nipo hapo hakuna tukio lolote,kuna trafik wawil wa kike hapa mbagala near bank wamesimamisha ka-vitz acha uongo wewe,kama mada huna endeleza mambo yako ya kutofikishwa kileleni,kutafuta muhogo na kumpenda jk.
Nenda walize hao police
 
alienda chini makusudi ili kesi iwe ngumu na habari zienee kwa kasi, hata hivyo kuna wanawake kama madume ukikaa vibaya waweza kupigwa hadi ukasema sio ngumi ni chupa, kwa yale makonde.
 
king kong 111 umeamka salama au ndio bado hujauona mchana unataka kunila mimi?
 
Mkuu mbagala hamna trafiki wa kuita magari coz mbagala kuna roundabout kuanzia bandari kurasini hadi zakhem. huyo traffic alikuwa anaita magali ya wapi na wapi? nachojua matraffic wapo pale uhasibu na wanakuwa zaidi ya mmoja kwenye vibanda walivyowekewa kwenyewe kila 4way. tuwekee picha tuone mkuu.
 
alienda chini makusudi ili kesi iwe ngumu na habari zienee kwa kasi, hata hivyo kuna wanawake kama madume ukikaa vibaya waweza kupigwa hadi ukasema sio ngumi ni chupa, kwa yale makonde.

Mkuu umenikumbusha mkoma aliyekuwa akipigana na jamaa pale stendi Mpwapwa, jamaa alipigwa ngumi ya kichwa akadai jamaa kampiga na nondo!!!! Kumbe ni zile sugu za ukoma na si nondo.
 
Mkuu mbagala hamna trafiki wa kuita magari coz mbagala kuna roundabout kuanzia bandari kurasini hadi zakhem. huyo traffic alikuwa anaita magali ya wapi na wapi? nachojua matraffic wapo pale uhasibu na wanakuwa zaidi ya mmoja kwenye vibanda walivyowekewa kwenyewe kila 4way. tuwekee picha tuone mkuu.
Mdogo wake king kong
Mdo
 
Sijapiga picha
 
king kongo 111 na dubu wanataka evidence I think nirudi tena mbagala nimtafute mwanajeshi na police wapigane tena nipige picha
 
police wakiume apigwa kofi na kwenda chini na mwanajeshi wa kike kuchelewesha kuita magari hapa nipo mbagala rangi tatu

Imenikumbusha leo asubuhi wakti nasikiliza Power blackfast ya clouds FM. kulikuwa na wanaume wawili walitoa ushuhuda wa kupigwa na wake zao. Khatari kubwa sana.

Poleni sana na mnaopigwa na akina mama.
 
Jane, Lipi jipya? Mwanajeshi kupiga police? police kwenda chini? wakike kumpiga wa kiume? au ndio Kibanga ampiga Mkoloni?
 
images
 
huyo mwanajeshi amekosea utampigaje trafic wakati yupo eneo lake la kazi anawajibika? this country banaa kila mtu sheria mkononi
 
Imenikumbusha leo asubuhi wakti nasikiliza Power blackfast ya clouds FM. kulikuwa na wanaume wawili walitoa ushuhuda wa kupigwa na wake zao. Khatari kubwa sana.

Poleni sana na mnaopigwa na akina mama.

power black fast!!?
 
Back
Top Bottom