Traffic police apigwa live

Traffic wanaongoza magari kwa utashi wao bila kujali watumia barabara wana haraka gani.pia wanaruhusu oneway traffic kwa muda mrefu mpaka njia nyingine magari yanjicongest wakati taa mara nyingi huruhusu magari pande mbili at a go.nadhani wangefanya hivyo kunapokuwa hamna umeme tu kwani barabara zote zina priority na kwa muda wote watumiaji wa pande zoye wana haki sawa
hongera mjeshi kumshitua huyo traffic maana ndiyo njia pekee wanayoweza kuisikiliza
 
naye anatakiwa kumrudishia
hawa wanajeshi wetu hawana kazi ndo mana wanaleta matatizo huku mtaani
 
Wakati mwingine hawa trafiq polisia wanakera sana, nenda ubungo mataa, karume na hapo makutano ya mandela Rd na Nyerere Rd almaarufu bakhresa ndo utaelewa ****** wa hawa trafk polisi
 
naye anatakiwa kumrudishia
hawa wanajeshi wetu hawana kazi ndo mana wanaleta matatizo huku mtaani

Wewe wanajeshi walikufanya nn!!? Naona unachonga ngenga sana kukiwa na post zinazowahusu hawa jamaa..., b open! U hate the player or the game!?
 
Back
Top Bottom