Traffic police apigwa live

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
police wakiume apigwa kofi na kwenda chini na mwanajeshi wa kike kuchelewesha kuita magari hapa nipo mbagala rangi tatu
 
police wakiume apigwa kofi na kwenda chini na mwanajeshi wa kike kuchelewesha kuita magari hapa nipo mbagala rangi tatu

askari jeshi ana kesi ya kujibu, mwisho wa siku atapiga magoti kumwomba msamaha
 
police wakiume apigwa kofi na kwenda chini na mwanajeshi wa kike kuchelewesha kuita magari hapa nipo mbagala rangi tatu

Acha fix wewe mie nipo hapo hakuna tukio lolote,kuna trafik wawil wa kike hapa mbagala near bank wamesimamisha ka-vitz acha uongo wewe,kama mada huna endeleza mambo yako ya kutofikishwa kileleni,kutafuta muhogo na kumpenda jk.
 
Traffic wanakera sometimes hasa linapokuja sual la kubalance magari,unaweza kuta ata class alikuwa kilaza wa kubalance chemical equation sasa ukija kwenye magari upande mmoja lazima ukeshe.
 
Acha fix wewe mie nipo hapo hakuna tukio lolote,kuna trafik wawil wa kike hapa mbagala near bank wamesimamisha ka-vitz acha uongo wewe,kama mada huna endeleza mambo yako ya
kutofikishwa kileleni,kutafuta muhogo na kumpenda jk.

Mkuu punguza ukali, Elewa kuwa jane ni mke wa mtu.
 
ni ujinga wake huyo mama, naamini itamgharimu kabla hajaomba radhi tena kwa kupiga magoti

Inategemea uharaka kutokana na unyeti wa kazi yake ya kijeshi ya ulinzi wa nchi. Huwezi jua labda alikuwa anawahi kutoa amri ya kazi ya kutegua mabomu yalioonekama mahali fulani au maamuzi mengine ya hatari sana kwa usalama wa nchi. Mwanajeshi wa kike labda aliona kabisa kwamba Traffic Police wa kiume anamdharau kwasababu ni mjeshi wa kike. Jeshini wapo askari wanamamlaka ya kuuwa licha ya kupiga makofi tuu kama anaona kinachofanyika kitaleta hatari kwa usalama wa taifa. Hatuwezi kupoteza maisha ya watanzania kibao kwa uzembe wa kucheleweshwa na Trafiki mla rushwa.
 
Traffic wanakera sometimes hasa linapokuja sual la kubalance magari,unaweza kuta ata class alikuwa kilaza wa kubalance chemical equation sasa ukija kwenye magari upande mmoja lazima ukeshe.
Traffic wanaboa sana hasa wanapoingilia traffic lights zinapokuwa zinafanya kazi.Cha ajabu, kama traffic lights hazifanyi kazi kwa vile hakuna umeme, unawaona na wao "wanaacha kufanya kazi" utadhani nao wanaendeshwa kwa umeme! I hate them!
Isingekuwa busara kwa wao kusaidia kuongoza pale taa hazifanyi kazi?
Naamini mko humu JF na mnasoma.Jirekebisheni.
 
police wakiume apigwa kofi na kwenda chini na mwanajeshi wa kike kuchelewesha kuita magari hapa nipo mbagala rangi tatu
Lazima huyo askari wa kiume alikuwa amekesha kwenye kinywaji aina ya gongo vinginevyo haiwezekani !!!!
 
Mkuu punguza ukali, Elewa kuwa jane ni mke wa mtu.

Kuna thread alizianzisha hapa!

1.Mme wake hamfikishi kileleni
2.Anampenda JK
3.Anatafuta Muhogo

Sio maneno yangu hayo ni yake mwenyewe na ndio maana nikamwambia kama hana mada aendeleza zile mada zake!
 
Back
Top Bottom