track stolen laptop

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
wakuu nimenunua laptop na ningependa ikitokea ikaibiwa niweze kuipata tena,nifanyeje?kuna software au setting?
 
wakuu nimenunua laptop na ningependa ikitokea ikaibiwa niweze kuipata tena,nifanyeje?kuna software au setting?

Nakushauri fanya simple Risk and security analysys ya ya hiyo laptop ili uweze utambua na kugudua chanzo
  • THREAT na WEAKNESS ya hiyo laptop kubiwa
  • Probability ya kila risk ya kutokea
Once laptop ikiibiwa kuipata ni bahati ndogo sana Atleat simu inagaw ana yenyewe mtu aki format au akiuza nch nzi nyingine e nayo ni ngumu. Laptop mtu anaweza asiformat na akawa jirani yako na bado usijue.

So badala ya kuwekeza maarifa ya kuipata ikiibiwa wekeza maarifa a nguvu zako isiibiwe. Since ikishaibiwa kuipata probality yae ni 0.001 . Imean PREVENT it isiibiwe. Once ikiibiwa basi

Vile vile.

Make sure uanjilinda na threat halisi na real. usije ukaconcetrate na Wizi phyical ukukuta siku umeaicha latop sehemu baadae unakuta laptop inelea kwenye maji. au unaitumia sehemu amabayo laptop haipumui vizuri na hivyo ku over heat. MWisho wa siku latop haiibiwi lakini inakufa mapema.

But kama laptop yao ina madoc kama ya CIA na MOSAD nadhani unaweza kuiwekea ka GPS. Au unaweza kwenda kwa wale jamaa wa GROUP 4 na ulimate security wakupe ushauri na huduma zao kwa gharam ya kila mwezi.


Ukisoma kuna ku google study za security na risk analysi ya laptop kuibiwa ni kesi chache kesi nyingi ni Utunzaji.

Anyway ngoja wataalam waje watoe nondo.
 
Nakumbuka kuna jamaa aliniambia voda wanahuduma hii ya security kwa kubandika micro-chip kwenye mother board hata iwe wapi ukilog hewani inasoma ipo wapi kwa gps kwa kushilikiana na minara yao.Kama kuna ukweli 2tajua hapa jf.
 
mh ilinde tu. Wakisha chukukua wanajua kuitumia hata ukitrack itaonyesha tu ipo kinondoni kwa manyanya kazi itabaki nyumba ipi ipo
 
Back
Top Bottom